Nahitaji mfanyakaz wakike na badaye awemke wangu.mm bdo sijaoa.KAZI nikulisha ngombe nakufagia mbolea yangombe.npm
labda uende kijijini c hapa mjini
Mnielewe nikioa bila kujua km ninayeoa hawez kulish ngombe nitapat shda sna nahyo ndoa haitadumu n bora niwe mkweli jama
Hahaaaa kazi ipo
huuu mfumo dume siupend aisee! Ulimcost my mama dah!acha hzo ugoro!jaman hyo ndyo inteview yangu ya mwanamk n mpendaye km anabidii nakm anauwezo wakulish ngombe.jaman mnielewe niko serios
kazi gani!nitajuaje km ataweza kulisha ngombe?niko serious jaman.