BRUNOPACINO

New Member
May 30, 2023
3
1
KAZI YA KUWEKA GAMES KWENYE PC/PS3/PS2
ANAHITAJIKA MFANYAKAZI MWANZA
AWE NAVIGEZO VIFUATAVYO :
1.Awe Anaishi maeneo ya mwanza mjini,mitaa ya dampo,pamba,lumumba,uhuru nk
2.Awe na ufahamu wa kuweka game kwenye PC,na PS
3.CV yenye wadhamini halali mwenye elimu yakutosha,na referees wanaopatikana na kujulikana
4.miaka 20 mpaka 26
- NITEXT WHATSAPP NA CV ,DETAILS ZAKO NUMBER 0787304632

C28A8238-1C83-4937-A445-664555825EBD.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom