yani hii ndiyo ingetakiwa kuwa title ya huu uzi. inaonekana mtoa mada sio mtu wa arusha! hahaha...Bilionea wa arusha kaua mtu
Mmmh, balaa nyingine hizi;
sasa naye alikuwa anaonyesha bastola inavyofanya kazi kwa kulenga watu.
Pesa ikiwa nyingi inaleta karaha.
Mmmh, balaa nyingine hizi;
sasa naye alikuwa anaonyesha bastola inavyofanya kazi kwa kulenga watu.
Pesa ikiwa nyingi inaleta karaha.
Hadithi za abubuasi
Money is scarce! Money is never enough. pesa nyingi kwako ni kiasi gani mamndenyi?
Huyu wala haina haja ya kufikiria sana kwamba anatumia nini katika kufikiri!
Mtu yeyote anaporuhusiwa kumiliki silaha nadhani huwa anapewa masharti na vigezo ili chombo hicho kisilete madhara...
Huyo bwana hakutumia akili kabisa katika jambo alilofanya, he deserves facing the law.
Tusubiri mrejesho kutoka mahakamani.
Mmmh, balaa nyingine hizi;
sasa naye alikuwa anaonyesha bastola inavyofanya kazi kwa kulenga watu.
Pesa ikiwa nyingi inaleta karaha.