The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,653
Huyu si alikamatwa? Au nilikuwa naota?
Drud dealer ni Shkuba
hawa ni Scaba Scuba
watu wawili tofauti
Huyu si alikamatwa? Au nilikuwa naota?
OK, then si Nico.Hawa ni waarabu waswahili wa Mafia
wako kigamboni mda mrefu wameanzia uvuvi...
Shkuba....Huyu bwana si ndio yule aliyeko Gerezani Lindi kule, au kuna Scuba wawili, na kama ni yule anayafanyaje yote hayo akiwa magereza?
Ndipo tulipofikia watanzania kunyoosheana vidole. Simjui vizuri SCABA ila nimewahi shuhudia anavyotoa pesa yake kununua viwanja. Madalal wakipata viwanja tu wanampigia simu kwanza yeye. Nimewahi kuwahoji kwanini na wakakiri jamaa hana longolongo kwenye issue ya viwanjamajungu sasa ndo mtaji
Naona ndio style ya awamu hii majungu jazz band. Watu wavivu kutafuta pesa wanabaki kupiga domomajungu sasa ndo mtaji
Dah! Nilikuwa nachanganya uyo scabs scuba na muuza sembe shkuba...uyo savage scuba ndio kwanza namsikiaDrud dealer ni Shkuba
hawa ni Scaba Scuba
watu wawili tofauti
Scuba Scuba jamaa ni mmoja ya vigogo wa kigamboni anafanya biashara za hardware,mbao na real estate.Anamiliki viwanja na mashamba mengi sana KigamboniSCUBA SCABA!
Huyu jamaa naonaga mabango mengi Kigamboni yameandikwa hivyo.
Unanikumbusha Scaba Scuba Scaba Line!!! Hii habari ni kama imeandikwa na gazeti la UDAKU! Mwanzo nilidhani ni yule nguli wa madawa ya kulevya!!!Hizo jitihada zije na picha basi maana hajulikani kwa wengi kama anavyo jinadi kama ni kweli, ila SCABA SCUBA nili kuwa nina jiuliza hili jina nili lisikia wapi kumbe ilikuwa moja ya dala dala za mwanzo mwanzo biashara hiyo ilipo hala lishwa itakuwa ndio alikuwa mmiliki wake sijui?yaani kasha jitanua na kuwa jeuri kiasi hicho?haya tuna subiri huo uthibitisho.
Mi mpaka nimeona tabu kusoma yote nikajump kwenye comment.sijapatapo kuona uandishi wa kijinga kama huu!Hizi nazo ni porojo zingine tena, Gazeti halielezi amevamia vipi eneo la ekari 5000. Hivi ekari 5000 mwandishi anaziona ndogo?
Kitu kingine ambacho naona ni ujinga zaidi wa mwandishi, hivi kuna mtanzania anayetishwa na picha ya mtu? Yani nikipiga picha na Rais naweza kwenda kumtisha Mwandishi na akanywea?