Poleni sana wafiwa,muwe na subira kipindi hiki kigumu.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala Mary Nzuki amesema wanamshikilia mfanyabiashara Lucas Sasha kwa kosa la kumuua mpita njia Mahmoud Ally kwa kumpiga risasi maeneo ya Tabata Kisukulu wakati wa sherehe za Christmas. Kwa mujibu wa maelezo aliyoyatoa Sasha amesema kuwa kulikuwa na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanapita mbele ya nyumba yake hivyo akadhani kuwa amevamiwa na vibaka, akaamua kupiga risasi. Kamanda Nzuki amesema mfanyabiashara huyo anamiliki bastola hiyo kihalali, kwa sasa Polisi wanamshikilia kwa ajili ya uchunguzi wa tukio hilo
chanzo HABARI LEO
Naona polisi
wanataka kupotosha ukweli,jamaa alichukia baada ya jirani yake kupiga muziki kwa sauti kwa muda mrefu,aliyepigwa risasi ni mpita njia na ahusiki kwa namna yeyote na wapiga muziki,jamaa alikerwa na kuamua kwenda hapo kupiga risasi akiua mtu mmoja na mwingine kujeruhiwa,Ni kitendo cha kinyama kabisa na cha kulaniwa.....hapa sheria ifuate mkondo
..
Inaelekea wengi wanaomiliki silaha bado ni malimbukeni hasa kwenye matumizi ya hizi silaha

kuna wajingajinga wengi wana miliki silaha kienyeji hilo ni tatizo kubwa....
poleni wafiwa
Naona polisi
wanataka kupotosha ukweli,jamaa alichukia baada ya jirani yake kupiga muziki kwa sauti kwa muda mrefu,aliyepigwa risasi ni mpita njia na ahusiki kwa namna yeyote na wapiga muziki,jamaa alikerwa na kuamua kwenda hapo kupiga risasi akiua mtu mmoja na mwingine kujeruhiwa,Ni kitendo cha kinyama kabisa na cha kulaniwa.....hapa sheria ifuate mkondo
..
naona umekomalia kweli na nimekusoma kwasababu wabongo hum jamvin walikomalia kweli kuhus ishu ya fergusonKheee!
Maajabu ya mwaka haya.
Kumbe hata wabongo wanauana kwa risasi?
Kheee!
Maajabu ya mwaka haya.
Kumbe hata wabongo wanauana kwa risasi?
unaundugu na Chris nini?We jamaa wewe!.
Kweli .......... mzigo.
Ndiyo Maana Nilisema Kuwa Hao Ndugu Wa Marehemu Wamefanya Kosa Kubwa Sana,WALITAKIWA MUDA ULE ULE WAKAMTEKETEZE MUUAJI HUYO KWA KUCHOMA MOTO JUMBA LAKE LOTE ILI SHERIA IFUATE BAADAE HUKU KILA UPANDE WAKIOMBOLEZA KUONDOKEWA NA NDUGU ZAO.Huu Upotoshwaji Unaofanywa Na Polisi Wala Wasingeumia Zaidi Kama Wangemalizana Mapema. Sasa Ndugu Yao Kauliwa,na Bado Amepewa Kesi Ya Kuwa Alikuwa Kibaka Alimvamia Shasha, Na Bado Shasha Atashinda Kesi Kwa Kuua Bila Kukusudia. HILI LIWE FUNZO KWA WOTE, MTU AKIUA USIMRUHUSU APELEKWE POLISI HASA MTU MWENYE FEDHA, CHAMSINGI MALIZANENI HAPOHAPO TU.