Mfanyabiashara aua mpita njia kwa risasi

Mfanyabiashara aua mpita njia kwa risasi

Sijajua kama mtu anaweza ku compensate death, other than reacting on the spot, avamiwe na jamabz? Na kwanini asitoke na siraha ya aina nyingine? Kwanini asiangalie na akajiridhisha kabla ya ku shoot? Kiukweli Mali, fedha zinawatia watu kiburi sana,

Mimi kuna boss mmoja muhindi alikuwa ananiletea dharau mpaka kunitukana....kuna siku moja nilimtolea uvivu ndani ya ofisi yake mpaka leo ananiheshimu kama Mungu wake..kwa kitu nilichomfanya...
 
Poleni wafiwa lakini tambueni hiyo ndio nchi yenu na haki ilishazikwa siku nyingi na imeshaozea kaburi,hakuna wa kumtazama wala kumjali masikini wa nchi hii.
Sipendi kuchangia sana maana mwisho wa siku nitapewa hata jina lisilo,kwani siku hizi hawachelewi kubambikia mambo ya ajabu.
"MWANZO WA MAUMIVU NDIO MWANZO WA USHINDI MKUBWA"
 
Yaani kelele za muziki zikamfanya jamaa atoke na pistor na kuua mpita njia!!!?
Mbona kama haikai kichwani??

Kuhisi watu ni majamabazi na kupiga mmoja wao.nayo ina ugwadu.

Labda kuna uhusiano wa taarifa zote mbili ninavyofikiri.yaani.

Kelele za muziki+jamaa kuwa hawaeleweki wana ishu gani mtaani hapo,mfanyabiashara akahisi ni majambazi.nimewaza tu.

Hatutujafikia kuuana hovyo tena kizembe namna hiyo.
 
NDUGU WA MAREHEMU WAMEFANYA KOSA, Walitakiwa Wamarizane Mapema Kabisa Na Huyo Tajiri.Asubuhi Walitakiwa Polisi Waje Wafukue Majivu Ya Miili Ya Familia Ya Huyo Tajiri. Hapo Wangeomboleza Vzr Ndugu Yao. HUYO TAJIRI HAFUNGWI.ANAEBISHA TUIFUATILIE HII KESI UONE KAMA ATANYONGWA.
 
Duh kelele za muziki uswazi c ajabu angejenga masaki asingepata usumbufu huo huku atuachie sie

Ha ha ha! umenifurahisha na hiyo picha. Ndo mambo ya uswazi hayo. Mimi nimeingia job asb lakini jirani yetu ana shughuli na nimewaacha wanafunga spika. Yaani nikitoka kazini napitilizia kuangalia mechi ya Man u na ya Yanga. Narudi jioni sana, nikirudi mchana sitalala. Uswazi kuna raha na karaha zake!
 
Inaelekea wengi wanaomiliki silaha bado ni malimbukeni hasa kwenye matumizi ya hizi silaha

Yaani ni kweli kabisa bongo wanaomiliki silaha ni malimbukeni kufuru, utakuta mtu yuko bar au hat ki grosary tu imetokea ubishani fulani na sio ugomvi mtu anatoa silaha anaanza majigambo yake na kuonesha iyo silaha yake, yaani bongo bado sana na mbaya zaidi wakitokea wazee wa kazi hata kuzitumia wanashindwa.
 
Inaelekea wengi wanaomiliki silaha bado ni malimbukeni hasa kwenye matumizi ya hizi silaha

Huku mitaan sikuhizi tumekua tukipata shida mtu akimiliki siraha siku mbil mtaan kila mtu atajua zaman hlo halikuwepo japo utasikia tu kuwa anamilik siraha lakn hauto iona,utakuta jitu kubwa linakaoa kabint kadogo kakisalimiwa nawatoto wenzie mume mtu mzima anakuja nakutoa bastora,sijui mashart yakumilik siraha yamepungua au vipi? watu wa usalama litazameni hili.
 
NDUGU WA MAREHEMU WAMEFANYA KOSA, Walitakiwa Wamarizane Mapema Kabisa Na Huyo Tajiri.Asubuhi Walitakiwa Polisi Waje Wafukue Majivu Ya Miili Ya Familia Ya Huyo Tajiri. Hapo Wangeomboleza Vzr Ndugu Yao. HUYO TAJIRI HAFUNGWI.ANAEBISHA TUIFUATILIE HII KESI UONE KAMA ATANYONGWA.

Naunga mkono kuwa hatofungwa lakn si mengine.
 
Naona polisi
wanataka kupotosha ukweli,jamaa alichukia baada ya jirani yake kupiga muziki kwa sauti kwa muda mrefu,aliyepigwa risasi ni mpita njia na ahusiki kwa namna yeyote na wapiga muziki,jamaa alikerwa na kuamua kwenda hapo kupiga risasi akiua mtu mmoja na mwingine kujeruhiwa,Ni kitendo cha kinyama kabisa na cha kulaniwa.....hapa sheria ifuate mkondo
..

Asante kwa ufafanuzi Mkuu.
 
Huku mitaan sikuhizi tumekua tukipata shida mtu akimiliki siraha siku mbil mtaan kila mtu atajua zaman hlo halikuwepo japo utasikia tu kuwa anamilik siraha lakn hauto iona,utakuta jitu kubwa linakaoa kabint kadogo kakisalimiwa nawatoto wenzie mume mtu mzima anakuja nakutoa bastora,sijui mashart yakumilik siraha yamepungua au vipi? watu wa usalama litazameni hili.

Usalama unaanza na wewe mkuu huyo mtu peleka taarifa zake kituo cha polisi na anapoishi!!!
 
Back
Top Bottom