mfanyabiashara abakwa hadi kufa...

Tuesday September 9, 2014! Si vibaya tukimkumbuka "shujaa"
 
Mish you too babe [emoji8] naona ulipotea tena unaendeleaje lakini
Sijambo mtoto mtamm..nilipotea tena Ila niko unono kabisaaa...hahaha juzi nikakukumbuka mlivyokojozwa 5 bila nikasema leo ilifaa kunywa kreti zima la Heineken na babee kupoteza machunguπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijambo mtoto mtamm..nilipotea tena Ila niko unono kabisaaa...hahaha juzi nikakukumbuka mlivyokojozwa 5 bila nikasema leo ilifaa kunywa kreti zima la Heineken na babee kupoteza machungu[emoji23][emoji23]
Sasa babe hayo mambo ya 5 yameingiaje hapa tena jamani lakini ulipotea kwa usalama eenh
 
Hahahahahhh
Mwanaume anabakwaje
Hata mimi nashangaa, kwasababu ili tendo lifanyike sharti mwanaume asimamishe mashine. Sasa kama mwanaume hakua tayari juu ya jambo hilo mashine yake ilisimamaje?
 
Itakua alikunywa na Sildenafil kabisa.....mkunyati ukasimama kisawa sawa huku Moyo unaishiwa kasi....mwisho wa siku aka Die in akiwa katikati ya shughuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…