Mfanya Biashara Maarufu Arusha Matatani Kwa Ukwepaji Kodi

Zapa RadioFm

Senior Member
Feb 12, 2016
112
171
Habari zilizotufikia kituo chetu cha radio kutokea jijini Arusha zinasema mfanyabiashara maharufu Minja aliyekua anamiliki Supermarket ya Morden na Pia anamiliki shule ya kujifunzia kuendesha magari ya Morden Driving school ameingia Matatani kwa ukwepaji wa kodi ya serekali kwa njia tafauti.

Zapa Radiofm
Sauti ya Ukweli
 
Wafadhili wa EDO
 
Sasa nijuavyo mimi wapiga deal wote Arusha wapo atach na ccm bora hapa Dar ukawa ni wapambanaji

Wewe sio kwamba hujui ila umegoma kuelewa wakati Edo na MBOWE wakijivujia matajiri wa arusha kuchangia chama wewe bado unajitoa akili ,hivi unajua kwa nini Edo alienda kutangazia nia arusha ,
Angalia pia kura alizopata Edo arusha
 
Nijibu hili kwanda kwanini Magu alifungia kampeni Kanda ya ziwa?
 
Arusha kila mfanyabiashara ni ama Maarufu au bilionea. Hawana mfanyabiashara wa kawaida ambae si Bilionea
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom