Tutafika mbali wapi mkuu ilihali hata wenyewe kwa wenyewe hawataki kukosoana?Tukianza na YouTube tutafika mbali sana kiuchumi.
#SiempreJMT
Umeshawahi kuajiriwa?Tutafika mbali wapi mkuu ilihali hata wenyewe kwa wenyewe hawataki kukosoana? Gwajima na Slaa ndio mfano tosha na huo mjadara wao ungemalizwa tu kwa wabunge kuchapisha mitandaoni salary slip zao na hata kama ni posho, ni ujinga wa hali ya juu sana wa hiyo posho kutokukatwa kodi...kila mtu na alipe kodi kwa fedha anazopewa iwe posho, mshahara au kiinuua mgongo.
Niko kazini hata sasa mkuu. Kila ninacholipa kodi hukatwa na hiyo PAYE inatumika ku- calculate ni posho gani nipewe...hakuna ninacho pewa cha bure bure hivi kwa majina tofauti tofauti, Mara posho, seating allowance, kiinua mgongo, yote hiyo ni mianya ya rushwa inayofaa kuzibwa kusheria na kufuatiliwa kwa ukaribu na TRA.Umeshawahi kuajiriwa?
Posho zako zilikuwa zinakatwa KODI ya P.A.Y.E?
Hujanijibu mkuu wangu.Niko kazini hata sasa mkuu... kila ninacholipa kodi hukatwa na hiyo PAYE inatumika ku- calculate ni posho gani nipewe, hakuna ninacho pewa cha bure bure hivi kwa majina tofauti tofauti... Mara posho, seating allowance, kiinua mgongo, yote hiyo ni mianya ya rushwa inayofaa kuzibwa kusheria na kufuatiliwa kwa ukaribu na TRA.
Majibu kwa maswali yote mawili ndugu Jumbe Brown ni Ndio.Hujanijibu mkuu wangu.
Je posho zako zinakatwa kodi ya PAYE?
Kwa hiyo mbunge ambaye naye ameshapangiwa kiwango Cha posho kutokana na hizo "scales" unataka akatwe PAYE?!!!
Madelu labda ndio Jumbe Brown ... huoni anavyotetea?Hivi Madelu bado yupo humu JF? Achukue madini hayo
Kumbe madini yetu hayatufikishi mbaliTukianza na YouTube tutafika mbali sana kiuchumi.
#SiempreJMT
Inaelekea hujui P.A.Y.E ina maanisha kitu gani.Umeshawahi kuajiriwa?
Posho zako uzilikuwa zinakatwa KODI ya P.A.Y.E?
Pamoja na maelezo mengi, lakini si kweli Youtube, Facebook, na mashiriki mengine hayalipi kodi. YouTube, Instagram, WhatsApp, Facebook zinalipa kodi (corporate tax). Hizi zinalipa kodui kutokana na fedha . Amazon na Ebay, Alibaba pia hulipa corporate taxes. Wanunuzi wa bidhaa kupitia mitandao nao hulipa kodi ambazo kama ulivyosema hukusanywa na wauzaji wa mitandao na kuziwasilisha kunakohusika. Kwa maana nyingine Tanzania au nchi nyingine zina haki kudai mitandao kama Facebook, Jamiiforums kama corporate tax.
Tuweke utamaduni wa kulalamika. Huu ni wito maana ukilalamika kila wakati hata utamaduni wako wa binafsi unabadilika. Kwenye maisha haya unatakiwa kuwa positive sana. Ukiwa mlalamishi bila kujua wewe ni tatizo vilevile huu ni ushauri tuTutafika mbali wapi mkuu ilihali hata wenyewe kwa wenyewe hawataki kukosoana?
Gwajima na Slaa ndio mfano tosha na huo mjadara wao ungemalizwa tu kwa wabunge kuchapisha mitandaoni salary slip zao na hata kama ni posho, ni ujinga wa hali ya juu sana wa hiyo posho kutokukatwa kodi.
Kila mtu na alipe kodi kwa fedha anazopewa iwe posho, mshahara au kiinuua mgongo.
Slaa yupo Sawa ila hakujipanga. Alisahau kuwaeleza kuwa posho zao hazikatwi kodi wakati wafanyakazi katika private sector posho zao zinajumuishwa katika mishahara na kukatwa PAYE. Wao wanakatwa PAYE ya mishahara tu. Aidha per diem zao zinatakiwa kukatwa 10% iwapo hawatarejesha receipt za matumizi yake.Tutafika mbali wapi mkuu ilihali hata wenyewe kwa wenyewe hawataki kukosoana?
Gwajima na Slaa ndio mfano tosha na huo mjadara wao ungemalizwa tu kwa wabunge kuchapisha mitandaoni salary slip zao na hata kama ni posho, ni ujinga wa hali ya juu sana wa hiyo posho kutokukatwa kodi.
Kila mtu na alipe kodi kwa fedha anazopewa iwe posho, mshahara au kiinuua mgongo.