G.25 JF-Expert Member Jun 12, 2013 1,730 1,868 May 18, 2016 #2 Ni kijiji au pembezoni mwa mji? Pako poa sna!
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,720 215,794 May 18, 2016 #3 Yaani kama kule kwetu Lushoto.
Kituko JF-Expert Member Jan 12, 2009 9,555 9,349 May 18, 2016 #4 Sky Eclat said: Yaani kama kule kwetu Lushoto. Click to expand... Ndio maana Wajerumani walipakubali sana hapo Lushoto
Sky Eclat said: Yaani kama kule kwetu Lushoto. Click to expand... Ndio maana Wajerumani walipakubali sana hapo Lushoto
real G JF-Expert Member Feb 7, 2013 5,227 5,292 May 18, 2016 #5 duuh e banaee, ila kule Rombo vijiji vinakaribia kuwa hivyo
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,900 36,223 May 18, 2016 #6 Kuna fanana na msoga kwa karibu.....