kabatini kwenye TVUngeiweka wap
Sasa hivi watamtupia lawama shetani, nyie subirini tu!.
MI TANZANIA NDO MAANA ATUENDELEI TUNAWAZA SANA NGONO.
Na hicho pia kiwanda sheikh.Safari ya kuelekea Tanzania yenye viwanda ni defu sana
![]()
Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,
Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
Kiwanda cha watotoNa hicho pia kiwanda sheikh.
HeeeeeAha aha aha mbona ni sikukuu siku hiyo Du!