Mfanano wa ajabu

Ulipoingia huu mwaka nilifanya tafiti yangu mapema. kalenda ya mwaka 1993, 2002 na mwaka 2013 zimefanana kwa kila kitu na kalenda ya mwaka 2019. Tafuta hizo kalenda utapata majibu. Nafikiri hivi ni vitu ambavyo kimahesabu vinatokea kila baada ya muda fulani ingawa bado sijafanikiwa kujua ni kwa kipindi gani hasa specific.
 
Hayo makalenda na ma tarehe yanajirudiaga kwasababu hakuna tarehe wala miezi mipya iliyoongezwa na wiki kwa mwaka ni zile zile kwaiyo kujirudia kwa kalenda lazima kutokee.Hakuna jipya chini ya jua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…