Mfamasia aliyepo dar

Hakuna watu wenye nyodo kama wa pharmacy hiyo laki 7 hakuna utakayempata labda awe mshamba atoke lamadi na akijanjaruka lazima atataka uongeze pesa.
Bila 1m haupati,,wa kwangu namlipa 1.1mil
 
Mtu mwenye uhitaji kabisa hawezi kataa kazi kisa tofauti ya laki kwenye range ya mshahara wa 700k! Nadhani atapata, sasa mkuu hata kama we huna ramani unaweza kataa kazi ya 700k kisa unataka 800k?
 
Kama umefungulia Kwa cheti chako unamlipa 500,000tsh Sasa hii anatumia cheti chake kukufungulia biashara inamaana kitu kikienda hovyoo anashikwa yeye so hapo anajirisk so lazima aongezewe mshahara
Tofautisha kati ya Pharm tech na Mfamasia..usichanganye mambo.
Cheti cha pharm tech hakifunguliwi pharmacy, labda duka la dawa.
Cheti cha Mfamasia ndicho hutumika kufungulia Pharmacy.
 
Tofautisha kati ya Pharm tech na Mfamasia..usichanganye mambo.
Cheti cha pharm tech hakifunguliwi pharmacy, labda duka la dawa.
Cheti cha Mfamasia ndicho hutumika kufungulia Pharmacy.
Bangi ipo mkuu naamini
 
Sawa ila hujaelewa mada Mzee baba inasemekana Kwamba mkuu atachukua cheti Cha mwajiriwa halafu afungulie biashara so risk sio yeye anatake ni huyo mwenye cheti Saba ni ndogo ongeze iwe 1.4 na haiongezeki labda iwe kuwa au 1.2 kitu kama hucho

Lakini kasema uko mbeleni ata muongezea
 
Mtu mwenye uhitaji kabisa hawezi kataa kazi kisa tofauti ya laki kwenye range ya mshahara wa 700k! Nadhani atapata, sasa mkuu hata kama we huna ramani unaweza kataa kazi ya 700k kisa unataka 800k?
Unawajua pharmacist au unawaskia😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…