Mfamasia aliyepo dar

Mchinox

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
242
Reaction score
268
Anahitajika mfamasia aliyepo mkoa wa DSM ili atumie cheti chake kufungulia pharmacy, mshahara kwa vile biashara inaanza ni laki7 kwa mwezi ila kadri biashara inavyokua kubwa utaongezwa huo mshahara.

Aliye tayari anichek inbox..
 
Anahitajika mfamasia aliepo mkoa wa dsm ili atumie cheti chake kufungulia pharmacy, mshahara kwa vile biashara inaanza ni laki7 kwa mwezi ila kadr biashara inavyokua kubwa utaongezwa huo mshahara..
Alie teyar anichek inbox..
ukihitaji na pharm tech nitafute
 
Kumbuka anatumia cheti kukufungulia hela so laki Saba ndogo huyo tayari ni mnashare biashara so lazima umlipe twice
 
Pharmtech hua mnalipwa shingap minimum
Kama umefungulia Kwa cheti chako unamlipa 500,000tsh Sasa hii anatumia cheti chake kukufungulia biashara inamaana kitu kikienda hovyoo anashikwa yeye so hapo anajirisk so lazima aongezewe mshahara
 
Ata kaki 7 ata pata watu now wanaangaika kutafuta ajira
Sawa ila hujaelewa mada Mzee baba inasemekana Kwamba mkuu atachukua cheti Cha mwajiriwa halafu afungulie biashara so risk sio yeye anatake ni huyo mwenye cheti Saba ni ndogo ongeze iwe 1.4 na haiongezeki labda iwe kuwa au 1.2 kitu kama hucho
 
Sasa we unacheka mtu kupewa ofa ya laki 7, unaulizwa mbona umecheka kwani ndogo? Unajibu kwa dar minimum 800k! As if Kuna utofauti mkubwa sana

Mbona Bei uliyotaja Iko mulemulešŸ˜„
Hamna wanasemaga chini ya 800k hawafanyi kazi sasa yeye top kwake ni 700k ila akiweka 800k atapata sababu zanzibar wanalipa watu hadi 1+M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…