Mfalme Zumaridi kaachiwa?

Mfalme Zumaridi kaachiwa?

aisee hawa waumini wake nao sasa wameshakua zaidi ya bongo muvi,yani hadi matarumbeta nasikia kabisaaa kama vile katoka.ila anapoishi naona kuna ujenzi umeanza wiki jana.huyu mama nahisi atatoka tu
 
Duh huyu mama ni jirani yangu...ila muda huu nasikia shangweee benders ya zumaridi sasa inapepeaaa sasa ina Pepeaaaaa.kaachiliwa??tutakoma majirani sasa maake tulikua tumeanza kuzoea kulala bila makelele ya spika zake
Matumizi yake yashaisha lockup
 
Kwahiyo unafurahia alale sero! Kwanini usiende wewe polisi ukaombe wakulaze sero ili ufurahie Krisimasi kwa utulivu.
 
Usafirishaji wa binadamu

-Usafirishaji wa binadamu
-Kufanya mkusanyiko bila kibali
-Kuzuia polisi kutekeleza majukumu + kujeruhi polisi
Lingine nimesahau
Kusafirisha binadamu ni kosa? Kwahyo mabasi yote yafungiwe?
Au mwamposa anavyosafirishaga watu na mabasi kwenda kawe vipi,?

Mikusanyiko ya kidini na yenyeww ina vibali? Vibali ni mikusanyiko ya kisiasa tu mzee, tena za upinzani tu.....Mimi ni shemasi huku kwetu, tukitaka mkusanyiko tunakusanya tu.

Hiyo ya kuzuia polisi sijui...But all in all it seems alitungiwa Kesi nyingi kwa makusudi na ndio maana saivi ameshinda kesi karudi mtaan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom