Mfalme wa Oman Hytham akiwa Dar Es Salaam enzi za ujana wake

Mm nlipata mchongo wa Kupeleka vitunguui
Lkn dah napiga hesabu mambo ya kuporwaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Haaaahaaa wale jamaa zaidi ya Wazulu
IMG_4512.JPG
 
Aise sjui ni nyota au
Nlibahatika kukutana na wasudan kusini fulani
Miaka minne nyuma Kuna sehemu inaitwa bonga bar Sasa Hao wasudan walikuwa wamefikia gesti
Walikuja kuhudhuria kozi hpo chuo kikuu huria
Ila walikuwa masoja
Tukaja kuwa washkji maana tulikuwa tunapiga monde wote wakaja kuondoka Mara ya mwisho tuli wasiliana jamaa akaniambia kwao Sahv ni general na ni mtu fulani
Alikuja mwaka jana alifikia de mug ila navyomuona yule kna siku Atakuwa top mkbw
Sana
Kiukweli mm nna zali ya kukutana na watu maana huwa nazurula sanaaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mama mmoja Scotland alimfadhili Nyerere wakati anazoma huko. Nyerere alikuwa mwanafunzi moweke kutika Africa, yule mama na famikia yake wakampa Nyerere sehemu ya kukaa asijisikie mpweke.

Baada ya miaka kadhaa Nyerere akarudi Tanganyika, wakaendelea kuwasikiana.

Tulipokaribia kuoata Uhuru, Nyerere alimuandikia yule mama na famikia yaje barua ya mualiko waje Tanganyika kama wageni wa serikali kushuhudia Uhuru wa Tanganyika.

Wamekuja hawakuamini Nyerere kijana waliyemfadhili sehemu ya kukaa Scotland kaja juwa Head of State Tanganyika.

Walifurahi sana.

Unapomfanyia ukarimu vizuri mtu, hususan mgeni, kwa nia njema ni jambo zuri sana.

Source "Nyerere of Tanzania" by William Edgett Smith.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mama mmoja Scotland alimfadhiki Nyerere. Nyerere alikuwa mwanafunzi moweke kutika Africa, yule mama na famikia yake wakampa Nyerere sehemu ya kukaa asijisikie mpweke.

Baada ya miaka kadhaa Nyerere akarudi Tanganyika, wakaendelea kuwasikiana.

Tulipokaribia kuoata Uhuru, Nyerere alimuandikia yule mama na famikia yaje barua ya mualiko waje Tanganyika kama wageni wa serikali kushuhudia Uhuru wa Tanganyika.

Wamekuja hawakuamini Nyerere kijana waliyemfadhili sehemu ya kukaa Scotland kaja juwa Head of State Tanganyika.

Walifurahi sana.

Unapomfanyia ukarimu vizuri mtu, hususan mgeni, kwa nia njema ni jambo zuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise sjui ni nyota au
Nlibahatika kukutana na wasudan kusini fulani
Miaka minne nyuma Kuna sehemu inaitwa bonga bar Sasa Hao wasudan walikuwa wamefikia gesti
Walikuja kuhudhuria kozi hpo chuo kikuu huria
Ila walikuwa masoja
Tukaja kuwa washkji maana tulikuwa tunapiga monde wote wakaja kuondoka Mara ya mwisho tuli wasiliana jamaa akaniambia kwao Sahv ni general na ni mtu fulani
Alikuja mwaka jana alifikia de mug ila navyomuona yule kna siku Atakuwa top mkbw
Sana
Kiukweli mm nna zali ya kukutana na watu maana huwa nazurula sanaaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Samahani kwanza.
Kwakulinda hadhi ya JF naomba uwe unaandika neno zima ,sio kwa ufupi kama ulivyo andika. Japo imeeleweka ila humu ni JF sio FB
 
mrangi: wakati huo wa ujana natoka Bongo na taqwa, nikifika old kampala napumzika kwanza huku nikisubiri mto to wa kinyankole wa kunisindikiza juba, hivo simba coach walikua wanajua lazima siti ziwe mbili ili wakati tunakata nile mimi nimetulia na mtoto duuu ujana maji ya moto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom