Nilikuaga najua wako kama mbwa....aisee siku nimewaona live pale mikumi sikuamini walivyowakubwa...hizi TV hizi mtu unaweza ukawa unaelewa ndivyo sivyo