Mfalme ametishaaa

Mfalme ametishaaa

Mpuuzi haswa!
Hapo ndiyo mtu wa pink anataka abaki hivyo hivyo ili aweze kuabudiwa! Hahahaha
 
Si ujima actually sie ndo wajinga kuacha asili yetu. Wazungu wanamhusudu sana huyu jamaa kwa taarifa yako
Hizo ni zama za ujima ndugu yangu, ni zama za kutembea uchi wakati wa ujima mababu zetu na mabibi zetu hawakuwa na nguo za kujisitiri, inawezekana ni mila zao lakini lazima tukubali kuwa kuna mila nyingine hazifai kuendelezwa kwani ni za kishenzi, hao wazungu unaosema wanamuhusudu kwa kweli wanamshangaa alivyo zama za kale, leo hii tunapiga kelele dada zetu kuvaa nguo zinazobana mpaka mahospitalini wanazuiwa kuingia na nguo zisizo na staha, unafikiri kwa nini? Mahitaji muhimu kwa binadamu ni chakula, malazi na mavazi. Hapo mavazi hakuna ni ujinga mtupu, hebu muangalie vizuri alivyokaa, hata hajiamini kabisa kwa sababu yupo tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom