Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,888
- 16,120
HABARI KATIKA PICHA
Kiongozi wa Serikali ya Papua New Guinea, Boka Kondra akihufuatilia kwa makini mijadala alipokuwa anahudhuria moja ya vikao vya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.
Boka Kondra ni mwakilishi wa watu jamii ya Ngalum, Uropkulin na Kasipka na koo za Milima ya nyota na Koteka.
Pia, Boka Kondra amepata kuwa Mbunge na Waziri wa Utalii kwa muda mrefu.