Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Jamaa anaandika halaf anasahau na watu wazima tupo humu ndani kufanya sex(mating/copulate hakuchukui hata nusu saa) yeye story za vijiweni anakuja kutuletea JF. Masaa sita anayafaham au alitaka aema dk sita? Huu upotoshaj kwa watoto wetu na madogo ambayo ni veelazer ni wa kiwango kikubwa sana.
 
Muda alioutaja haufiki Massa 6,Wanasayansi waliofanya utafiti wana sema copulation process ni ndani ya seconds kadhaa tu imemalizika.

Na hata video zake wakati wa mating zinaonesha hivyo muda ni mfupi sana ndani ya dakika mchezo umeisha
Hebu Weka Izo Video
 
Shemeji Toa Hoja Acha Kulalamika
 
Kuna jamaa aliniambia hawa jamaa pia wanafanya tambiko. Ebu nijuzen wakuu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Nasikia pia huwa wanaombeleza kifo cha mwenzao,ni wanyama wazuri wenye akili,halafu anatokea mshenzi na gobole anaharibu yoote jangili ahukumumiwe kama muuwaji wa raia.
Shemeji Iyo Unayosema Ni Kweri Kabisa
 
Upo wrong kidogo mkuuu.
Kuna kitu kinaitwa Eco system na ecobalance.
Kuna levelz za matumizi za wanyama na uzalianaji. Twende hivi,

Maji ni renewable resource, kila siku chem chem zinatiririsha maji ,mitoni na ziwani, so haikaushwi na huwepo wa wanyama fulani bali activities fulan za kuharibu vyanzo vya maji ndio hatari.

Wanyama wote wakubwa kiumbo , wanao hitaji matumizi makubwa ya resource yeyote utagundua wanakuwa wachache na wenye kuzaliana kwa muda mrefu (kubeba mimba ) wakiwa wengi sana kutakuwa hakuna balance ya nature

Wanyama au viumbe hai wengine wanaotegemea sana kwa kuwa chanzo cha chakula kwa wengine, au walio katika level ya chini ya piramidi huzaliana kwa wingi na kuwa wengi sana.

Nature ina jibalasi vizuri sana binadamu asipo ingilia.


Mfano itakuwa janga kubwa endapo wanyama wote walao nyama wakatolewa
 
Shukran Shemeji Kwa kutusahihisa Ndio Uzur Wa Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ