Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Why do elephant testes are inside?
Tembo pumbu zao hazija shikiliwa na scrotum kama walivyo mamalia wengine.


Lengo la ngozi hiii ni kushikilia pumbu zipate condition nzuri za uzalishaji wa mbegu za kiume.

Condition nayo zungumzia hapa ni either ubaridi au joto.

Inatakiwa iwe optimum, joto lisiwe kubwa kama ilivyo kwa baridi.

Twende kwa tembo ; tembo system yake ya cooling na kubalance joto ipo stable, Tembo ana sehemu chini ya masikio inayo balance joto vzuri na kuwekaa mazingira safi ya uzalishaji mbeguu.
 
Shawahi kuona kwenye kitabu an albino elephant.Nlikuwa nauliza unamtofautishaje tembo wa Asia na wa Africa.
ayafai kwa matumizi ya binadamu..
 
Yale sio machozi mkuu, ile "flow" inaitwa "musth flow". Na inatokea kwa Bulls/tembo dume peke yao. Inasababishwa na hormoni za kiume/testosterone kuwa juu kuliko kawaida (documented: mara 60 kuliko kawaida) hivyo inatoa huo mtiririko unaoitwa "Musth/must".

Tembo alie katika hali hii huwa ni mkorofi na mwenye hasira na ukatili kupita kawaida. Na katika kutoa hizo "stress" ndo utakuta anatafuta ugomvi na madume wenzake hata pale ambapo hakuna jike lililo kwenye "heat" karibu. Na kutokana na uwezekano wa kuumizwa na mwenzao mwenye hii hali, mara nyingi kundi linamtenga/kukaa mbali naye. Basi akiwa peke yake ndio utakuta anavunjavunja miti pasi na nia hata ya kula majani yake.
 
daah huyu mnyama kumbe ana vituko hivyo yaani akipata (genye) hamu anavunja kuanzia vichaka hadi miti mara atoe watu mbio daah papuchi kumbe ni muhimu hata kwa wanyama aloo
 
Mkuu huyo anakimbia kwa spidi gani nasikia ukigeuka ghafla anakula mzinga chini anadondoka hebu lete somo hapo
 

Mkuu niliwahi kusikia eti tembo nao wana weka matanga ya misiba akifiwa na wanazikana kama sisi na wanazikana maeneo gani hayo maalumu? na kwann wazikane? maana sisi binadamu hata Faru Ngabu tunazika tu
 

Mkuu somo safi sana hili ,swali langu hivi hayo meno au mapembe yanatumika kwa shughuli gani kwa binadamu mpaka vimacho vidogo wanachanganyikiwa hivyo wakiona tembo wetu?
 
Mkuu somo safi sana hili ,swali langu hivi hayo meno au mapembe yanatumika kwa shughuli gani kwa binadamu mpaka vimacho vidogo wanachanganyikiwa hivyo wakiona tembo wetu?
Vitu vingi, urembo vyombo mbalimbali.

Nakshi nakshi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…