adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
MANY REFER IT AS KING OF THE JUNGLE
simba ni mnyama anaekula nyama(predator) anaishi katika nchi za tropical zenye joto.simba huishi kwa familia(PRIDE)simba dume anaweza kuwa na wake 3 au zaidi na watoto.watoto wa kiume wakifika miaka 2 wamebalee wanafkuzwa katika pride na kwenda kuanzisha pride yao kwa kutafuta familia yenye simba dume mzee au mgonjwa na kumuua au kumfukuza kisha kurithi yale majike.ikiwa wamekuta majike yana watt lazma yaue watt wote ili yale majike yasinyonyeshe na kupelekea kupata heat haraka.jike likipata heat yale madume yanafanya mbio ataefika wa kwanza kwa jike ndo ataanza kumpanda kwa muda wa siku 7 bila kula ni kunywa maji tu na ndani ya hizo siku 7 kila baada ya dakika 15 dume humpanda jike!.
Simba hutumia masaa 21 kupumzika kila siku na majike ndo huwinda sababu wepesi.simba ni ambushers au stalkers mviziaji na huwinda kwa kuangalia prey ambayo ni dhaifu kisha humkamata shingoni kumziba pumzi sio kunyonya damu.simba anakimbia km50 hd 60 kw saa ila kwa short distance.
Kuona mengine zaidi fanyeni utalii wa ndani.wazungu kule kwao kuna mazoo ya kutengeneza ila wanakuja huku kuona ktk natural enviroment