Mfahamu Salum Shamte (1951 - 2020)

Sijui mzee wangu atasemaje kuhusu ilo. Tuwemakin nahawa tunaowatetea

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubeti,
Nimeandika taazia ya Slim Shamte kama taazia ziandikwavyo.

Kisha nimeweka CV yake siku ya pili.

Hili unaloeleza wewe hapa linaangukia kwenye taazia.

Ustaarabu mtu hatii maneno yasiyopendeza kwenye taazia.

La una lako dhidi ya marehemu fungua uzi mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
apa tatizo si kubinafsisha tatizo ni kwamba wakulima wa mkonge walikuwa hawalipwi pesa zao kwa wakati..istoshe bei ya mkonge ilipanda sana na wakulima hawakulijua hilo wakawa wanalipwa bei ya zamani..kwa sasa katani L.T.D inadaiwa zaidi ya bil 27 za kuwalipa wakulima wa mkonge tangu bei ipande nandomana waliifungia karibia miezi miwili, waulize wakulima wa mkonge kwa sasa pesa wanayopokea na awali utaona utofauti mkubwa sana, awali mtu kupata mill 2 kwa wakati ni jambo tata sana ,ila kwa sasa yule alokuwa anapokea mill 2 anawez pokea mpaka mill 10, huoni kuna gape kubwa sana hapo?.na kwa sasa katani L.T.D hakuna ktu tna mana wanadaiwa maden mengi mno.shamba atakabidhiwa NSSF kwakuwa alkuwa anamiliki share 46 huku katani L.T.D akiwa na 54.katani hana pesa ya kulipa wakulima kwa sasa mana ana madeni ni mengi sana.All in all tutamkumbuka mzee wetu shamte mana tunaweza kusema bila yeye kusingalikuwa na wakulima wadogo, kachangia sana kiendeleza mkonge Tanga. samahani kwa ambao ntakuwa nimewakwaza lkn hii ndo hali halisi, wakulima walkuwa wakilipwa tofauti na bei ya soko.nandomana akawekwa ndani.
Sawa hata kama unasema kosa lake ni kwasababu ya conflict of interest kwa kushiriki kubinafsisha zao la mkonge kwa kampuni ya Katani Ltd, yeye akiwa mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo swali ni je kubinafsisha huko kwa hizo assets alifanya yeye peke yake ? Kama hakufanya peke yeke hao wengine walioshiriki katika zoezi hilo wako wapi? Salum Shamte asingeweza kujibinafsishia hizo mali bila ridhaa ya PSRC na ofisi ya Waziri Mkuu ambao ndio walikuwa waratibu wakuu wa zoezi zima la ubinafsishaji!!! Hawa wengine mbona hawakufikishwa mahakamani? Somebody has Salum's blood in his hands!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Mzee Salum Shamte, kwa hii obituary yake Salum Shamte RIP, sina budi kumshukuru mzee Mohamed Said umeifanyia haki Jamii ya wanaJamiiForums kuona kazi iliyotukuka na weledi wa mwendazake Mzee Salum Shamte.
 
RIP Mzee Salum Shamte, kwa hii obituary yake Salum Shamte RIP, sina budi kumshukuru mzee Mohamed Said umeifanyia haki Jamii ya wanaJamiiForums kuona kazi iliyotukuka na weledi wa mwendazake Mzee Salum Shamte.
Bagamoyo,
Ahsante sana.
 
RIP Mzee Salum Shamte, kwa hii obituary yake Salum Shamte RIP, sina budi kumshukuru mzee Mohamed Said umeifanyia haki Jamii ya wanaJamiiForums kuona kazi iliyotukuka na weledi wa mwendazake Mzee Salum Shamte.
Apumzike kwa amani
 
Tofauti yetu kila wakati ni wewe kutanguliza mahaba mbele kuliko ukweli. Mie namjua sana na hata issue ya Push Mobile. Hakuwa msafi kama weye unavyopenda kila wakati watu wahusudu na kusujudu. Kila makala zako ni za hivyo hivyo. Badilika uwe NEUTRAL ndiyo uandishi wa kuangalia pande mbili za shillingi
Huenda akikusoma taratibu atakuelewa vyema. Sitashangaa kama bado hatakuelewa.
 
Back
Top Bottom