Mfahamu Salma Kikwete

Hauna picha zake za ujanani? Wakati huo akikutana na mkulu.. Natamani sana kumuona.. Na je mbna haujawa specific sana kwenye hii hadithi yako? Na je huyo aliyekuwa mke mkubwa kwa sasa yupo wapi?
 
Na kwa nini hii taarifa inskuja leo, watu wa kusini kuweni macho...
 

Tupe na za mke mkubwa na yupo wapi sasa
 
Ungeeleza na jinsi alivyopata ziro form 4 na akibidi alisiti mara 3..
Unakumbuka pia walishawahi kuachana na mumewe mwaka 97 unajua kisa nini..
Na ungesema kuwa kwa jk kuwa ni ndoa yake ya 2 baada ya kuachwa na mumewe wa kwanza bwana mbaruku
 

Kwahuyu Sitii Neno Kwani Namheshimu Mno Na Sana ILA Haziband Wake Ndiyo Tatizo Langu.
 
Bongo hagiography tushazoea.

Tumedanganywa sana kwamba Nyerere ndiye Mtanganyika wa kwanza kusoma Uingereza mpaka watu wakakubali.

Tumedanganywa Nyerere ana degree ya pili (ana Masters ya graduate school) mpaka kajifia tumekubali.

Endeleeni kutoa historia nusunusu tu.

Ila Babu Seya alivyofanya vitu vyake msiache kusema.
 
Mama yetu nasikia alikua na kakijana serengeti boy alikua anamtolea vipele mgongoni,kalikua kanafanya kazi pale ccm lumumba sijuia katakuwa wapi kwa sasa na kaliwezeshwa usafir
 
Haaah haaah kama itaendelea usiache ile ya babu seya kukamatia zigo
 
Mkuu mleta uzi, kwenye aya ya nne umenichanganya kabisaaa....!!! Nanukuu:

"...Ingawa wakati ule nafasi za kujiunga na sekondari zilikuwa chache, ailikuwa miongoni mwa waliochaguliwa." mwisho wa kunukuu.

Naomba ufafanuzi wa maelezo hayo....je, huyo mama alisoma shule ipi ya sekondari kabla ya kujiunga na chuo cha ualimu Nachingwea !?
 
Nikimsikiliza huwa ninamwona mbumbumbu sana haikosi ni mwalimu wa UPE
 
Ungeeleza na jinsi alivyopata ziro form 4 na akibidi alisiti mara 3..
Unakumbuka pia walishawahi kuachana na mumewe mwaka 97 unajua kisa nini..
Na ungesema kuwa kwa jk kuwa ni ndoa yake ya 2 baada ya kuachwa na mumewe wa kwanza bwana mbaruku

He! Hii kama vile ni genuine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…