Mfahamu Salma Kikwete

Mfahamu Salma Kikwete

TIGOPESA

Senior Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
190
Reaction score
63
phoca_thumb_l_salma-kikwete.jpg

Mama Salma Kikwete.

Salma Rashid (kikwete). alizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30, 1963. Baba yake anaitwa Rashid Yussuf Mkwachu na mama yake ni Mwanapaza binti Shariff.

Kwa asili, baba yake anatoka Sarai, Rufiji mkoani Pwani na mama yake anatoka Lindi.

Katika familia , upande wa mama, walizaliwa watoto saba, wasichana watatu na wavulana wanne. Yeye akiwa ni wa sita, ila kwa baba ni wa pili, ana kaka yake na mdogo yake. Na pia ana wadogo zake wengine watatu ambao wanachangia baba, kati yao wavulana ni wawili na msichana mmoja.

Baba yake alikuwa mfanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwaka 1977 na kituo chake cha kazi kilikuwa Mtwara, wakati baba yake anafanya kazi, mama alibaki Lindi, hali ambayo ilimfanya apate elimu yake ya msingi kuanzia mwaka 1973 katika shule nne tofauti; Nnaida ya Mikindani, Mtwara, Rahaleo ya Lindi, Ligula (Mtwara) na Stadium, Lindi ndipo ambapo alimalizia elimu yake ya msingi.
Ingawa wakati ule nafasi za kujiunga na sekondari zilikuwa chache, ailikuwa miongoni mwa waliochaguliwa.

Kukutana na Kikwete.
Kila jambo hupangwa na Mwenyezi Mungu. alilikutana na atakayekuwa mume yake mwaka 1985 akiwa katika Chuo cha Ualimu Nachingwea, yeye akiwa ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Nachingwea.

Walipokutana kwa mara ya kwanza kitu ambacho alimwambia ni kwamba" nakupenda na nataka nikuoe" hakusema anataka awe rafiki yake au vipi, sijui kama huo ndio utaratibu wa kina baba wote, kwa sababu alimpenda, alimkubalia, ingawa uamuzi wake hakuutoa papo hapo.

Walifunga ndoa Machi 30, 1989 wakati huo yeye akiwa Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini. Baada ya kufunga ndoa walifanya taratibu za uhamisho kwa mujibu wa taratibu za kikazi.

Kwa hiyo walihamia Dar es Salaam ambapo aliungana na mume wake na wakawa wanakaa Mikocheni mtaa wa Ursino.

Wamejaaliwa watoto watano kati yao wanne ni wa kiume na mmoja wa kike. Wote wanasoma, wa kwanza yuko kidato cha sita, wa pili cha nne, wa tatu cha pili, wa nne yuko darasa la tano na wa mwisho yuko darasa la tatu.

Lakini kwa ujumla wana watoto wanane, ikiwa ni pamoja na watatu ambao mume wake alipata na mke wake wa kwanza.

Hawa wakubwa mmoja ni mwanasheria, mwingine ni daktari na mwingine ni mtaalamu wa Teknohama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).

Ila siku zote hupenda kusema wana watoto wanane kwa sababu hata wale wakubwa amewalea yeyetangu wakiwa na umri mdogo sana. Kwa hiyo wale ni watoto wake sawa sawa na aliowazaa yeye.

Ahsante kwa kusoma na kuelewa kwa makini.
 
Mama Salma ni Mama mwema saana mpole na mtulivu mmmno,am happy with our first Lady kwakweli.
 
ni muhm kujua hist ya first lady ili unapooa iwe mf.kwako kama una la kuiga
 
KAKAO imetulia hio,but, nikuulize kidogo,wewe ni KAKAO YA GHANA AU CHINA?.
 
Nasikia Mama Salma ana mtoto mkubwa ambe hakuzaa na Mh. Rais... Tufafanulie hili
 
Salma Rashid (kikwete). alizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30, 1963. Baba yake anaitwa Rashid Yussuf Mkwachu na mama yake ni Mwanapaza binti Shariff.

Kwa asili, baba yake anatoka Sarai, Rufiji mkoani Pwani na mama yake anatoka Lindi.
Katika familia , upande wa mama, walizaliwa watoto saba, wasichana watatu na wavulana wanne. Yeye akiwa ni wa sita, ila kwa baba ni wa pili, ana kaka yake na mdogo yake. Na pia ana wadogo zake wengine watatu ambao wanachangia baba, kati yao wavulana ni wawili na msichana mmoja.
Baba yake alikuwa mfanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwaka 1977 na kituo chake cha kazi kilikuwa Mtwara, wakati baba yake anafanya kazi, mama alibaki Lindi, hali ambayo ilimfanya apate elimu yake ya msingi kuanzia mwaka 1973 katika shule nne tofauti; Nnaida ya Mikindani, Mtwara, Rahaleo ya Lindi, Ligula (Mtwara) na Stadium, Lindi ndipo ambapo alimalizia elimu yake ya msingi.
Ingawa wakati ule nafasi za kujiunga na sekondari zilikuwa chache, ailikuwa miongoni mwa waliochaguliwa.

Kukutana na Kikwete.
Kila jambo hupangwa na Mwenyezi Mungu. alilikutana na atakayekuwa mume yake mwaka 1985 akiwa katika Chuo cha Ualimu Nachingwea, yeye akiwa ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Nachingwea.

Walipokutana kwa mara ya kwanza kitu ambacho alimwambia ni kwamba" nakupenda na nataka nikuoe" hakusema anataka awe rafiki yake au vipi, sijui kama huo ndio utaratibu wa kina baba wote, kwa sababu alimpenda, alimkubalia, ingawa uamuzi wake hakuutoa papo hapo.
Walifunga ndoa Machi 30, 1989 wakati huo yeye akiwa Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini. Baada ya kufunga ndoa walifanya taratibu za uhamisho kwa mujibu wa taratibu za kikazi.
Kwa hiyo walihamia Dar es Salaam ambapo aliungana na mume wake na wakawa wanakaa Mikocheni mtaa wa Ursino.
Wamejaaliwa watoto watano kati yao wanne ni wa kiume na mmoja wa kike. Wote wanasoma, wa kwanza yuko kidato cha sita, wa pili cha nne, wa tatu cha pili, wa nne yuko darasa la tano na wa mwisho yuko darasa la tatu.

Lakini kwa ujumla wana watoto wanane, ikiwa ni pamoja na watatu ambao mume wake alipata na mke wake wa kwanza.

Hawa wakubwa mmoja ni mwanasheria, mwingine ni daktari na mwingine ni mtaalamu wa Teknohama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).

Ila siku zote hupenda kusema wana watoto wanane kwa sababu hata wale wakubwa amewalea yeyetangu wakiwa na umri mdogo sana. Kwa hiyo wale ni watoto wake sawa sawa na aliowazaa yeye.

Ahsante kwa kusoma na kuelewa kwa makini.

Na mwanaisha yuko wapi?? Maana umesema ana watoto wa5 wote wako secondary na watatu ni wasomi Riz1,Salama au mwite Dr Mrisho na Miraji!! Je mwanaisha yuko wapi?? Wakati alipiga four pale feza??
Kama hujui kitu kaa kimya!!
 
Ngoja watakuja wanaowafahamu vizuri watachambua na kuleta idadi kamili!
 
Mkuu Mwanaisha mbona nimeshamuelezea.kwa mama salma wakiume wanne wa kike mmoja,au umerogwa wewe?,

Back
Top Bottom