Mfahamu mzee mwenye nyaraka za ardhi ya Palestina ambayo Waisraeli wamevamia

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,612
8,746
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.

Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #FreePalestinePicha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na mhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake. Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #Palestine Huru

FB_IMG_1679403751447.jpg
 
Hio ni hati tu, hata jambazi anaweza kupora shamba na kuliuza kihuni

Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya miaka 100 waarabu wangerudi kwenye ardhi yao ya Mecca, Je waisreal wangewakatalia kwamba hio sio ardhi yao kwasababu wameishi miaka 100 na wana hati za ardhi walizouziwa na wagiriki ?
 
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.

Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #FreePalestinePicha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na mhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake. Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #Palestine Huru

View attachment 2560546
Kwani Ottoman na Ibrahim nani alitangulia?

Kwani huyu babu wa huyo mzee na mzee Ibrahim nani alikabidhiwa hiyo ardhi na Mungu.

Huyo mzee karithi kwa Babu yake, wayahudi nao wamerithi kwa babu yao Ibrahim.

NYARAKA.
Huyo mzee anaonyesha nyaraka yake ya urithi toka kwa babu zake.

Wayahudi nyaraka yao ipo kwa biblia. Mipaka ya ardhi yao imeainishwa humo na nadhani bado hawajaipata yote. Au nasema uongo jamani
 
Nafikiri huelewi tofauti ya Ibrahim na Abraham kwa hiyo kuwa mwangalifu kurukia usichoelewa
 
wakipata yote kuna nchi zitajikuta ziko ndani ya mipaka ya israel. Kwenye zile vita israel ilitakiwa izipige zile nchi zilizounda umoja wa kupambana nayo ili iteke maeneo makubwa zaidi
 
Nafikiri huelewi tofauti ya Ibrahim na Abraham kwa hiyo kuwa mwangalifu kurukia usichoelewa
😂😂😂😂😂😂

Jielewe kwanza wewe kabla haujaelewa tofauti ya Ibrahim na Abraham.

BTW, usichokijua kuhusu Ibrahim na Abraham ni mabadiliko ya mindset/moyo/subjective mind. Kwa dini zenu mnaita ubatizo japo mmegeuza kuwa usanii.

Mpaka hapo ikiwa haujaelewa shauri lako. Sipotezi muda no off thread, maana kwa kutojielewa kwako umeshatoka nje ya mada.
 
Ugomvi wa wayahudi na wafilist ulianza tangu enzi za kina Daudi na Goliath wakati wa utawala wa Mfalme Sauli pale Islael.
Ibrahim alikuwa ni myahudi na milki hii alipewa na Mungu miaka mingi kabla ya Kristo.
 
Hao Ottoman waliomuuzia nao ilikuwa sio ardhi yao.

Hivi mfano waarabu wa pale Mecca wangetolewa na wagiriki na wakahamishiwa ugiriki lakini eneo la Mecca wakaja kukaa waisrael, je Mu israel angeuziwa eneo na mgiriki hii hati ingekuwa na mashiko kipindi waarabu wamerudi hapo Mecca ?
Waisrael baba yao Ibrahim,Ibrahim ni mtu wa Iraq
 
Ugomvi wa wayahudi na wafilist ulianza tangu enzi za kina Daudi na Goliath wakati wa utawala wa Mfalme Sauli pale Islael.
Ibrahim alikuwa ni myahudi na milki hii alipewa na Mungu miaka mingi kabla ya Kristo.
Ibrahim ni muiraq,alikuta watu ardhi hiyo,mji wa Jericho upo kwa zaidi ya miaka elfu 10
 
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.

Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #FreePalestinePicha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na mhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake. Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #Palestine Huru

View attachment 2560546
Haha huyu mgonjwa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom