Mfahamu mwandishi aliyemuhoji Osama Bin Laden mara 3 bila woga

Angeogopa nini wakati wote ni wamoja. Hata angehojiwa na mtanzania mwenye jina kama lake , asingekuwa na wasi wasi. Ndugu wa muislamu ni muislamu.
 
Ina onekana kuna kitu unajua/// leta madini hayo mkuu

Nia haswa ya marekani kuitamani Afghanistan ni zao la poppy (heroin)
Ndio maana wakataka Mrusi aondolewe hapo
Wakamfundisha Osama kila kitu mpaka kutengeneza mabomu
Kilichofuata ndio haya sasa

BBC wameonyesha jela ndani ya Afghanistan kama Guantanamo ya kuwatesa Taliban
Inasikitisha na dunia nzima ilifichwa

Walishindwa kuiteketeza hiyo jela baada ya Taliban kushika nchi yao na bbc wakaenda kuiona
 
Duhhh kumbe ! Marekani ni nchi ya ajabu sana
 
Akili ya osama ni kubwa. Mukiambiwa komandoo wa kweli ndiyo Osama bin laden. Mwenyezi Mungu amrehemu
 
Duuu ujasiri wa ajabu Sana kukutana na Osama kipindi Cha Taleban ni sawa na kukutana na wauza madawa wa Mexico kateli za Sinaloa au Los zetas kukukata kichwa polepole huku unahisi maumivu ni Jambo la kawaida Sana.
Lzm akupe ruhusa kabla ya kukutana nae
 
Inaonyesha osama alikua mtu peace sana kama Hamza. Basi tu walimvuruga akaamua kukisanua mazima.
Alizulumiana na Wamarekani baada ya kuwapigia Kazi nzuri afghanistan kwa kushirikiana na Taliban iliyoanzishwa na USA Ili kuisambaratisha Urusi.Chanzo cha Mrusi kumpiga taliban ni baada ya taliban kufanya chokochoko Urusi.
Osama aliwabrainwash waislamu Ili kupata wapiganaji.Hakuna kundi lolote la kigaidi duniani linalopigania dini bali ujificha kwenye mwamvuli wa dini Ili kupata wafuasi.
 
Taliban hawakufanya biashara yoyote na Us hata useme Us aliwadhulum hela na Us si founder wa Taleban, founders wa taliban Mohamed Omar na Abdul Baradae
Us yeye alikuwa akitoa support kwa AFGHANISTAN resistance army(mujaheeden) then hao mujaheeden wakawa kitu kimoja na teliban kuipinga serikali iliyokuwa madarakani ambayo ilikuwa supported na mrusi. mwaka 1989 Urusi akaondoa majeshi yake, serikali iliyokuwepo madarakani(kama vile juzi baada ya Us kutoa majeshi yake, serikali ya kibaraka yake ikadondoka so history imejirudia kila upande) nchi ikaingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe. baadae taliban ikaanza kuaminika kuwa itaweza restore amani iliyopotea hivyo mwaka 1994 wakachukua nchi.
in short hapo katikati hakukuwa msigano mkubwa kati ya Taliban na Us.
mambo yalikuja kuharibika baada ya SHAMBULIO la sept 11.
bush akaitaka serikali ya taliban kumkabidhi Osama mikoni mwao, Taliban wakakataa kata kata kufanya hivyo, Us akavamia Afghanistan Taliban wakakimbia IKULU wakaenda kuishi mapangoni uku wakipigina kurudi ikulu.
wamepigana zaid ya ya miaka 20, ndiyo kwa makubaliano na Us wamerudi Ikulu.
so, madai ya kusema Us waliwadhulu taliban ani KAHAWA tupu.
STAND TO BE CORRECTED.
 

Mkuu naomba uniambie nini kiliwapelekea Afghan kupigana na Russians
Na nani aliwaingiza huko?
Kwanini USA walienda Afghan?
Osama alikuwa Msaudi na mambo ya Sep 11 yalipangwa ninavyoamini mimi
 
Duuu ujasiri wa ajabu Sana kukutana na Osama kipindi Cha Taleban ni sawa na kukutana na wauza madawa wa Mexico kateli za Sinaloa au Los zetas kukukata kichwa polepole huku unahisi maumivu ni Jambo la kawaida Sana.
Black widow,giselda blanco

Mwanamke wa shoka sana huyo ktk tasnia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…