pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,274
- 3,075
na miss mitikasi ya huyu mwamba aka commando zile purukushani zake kwa bush zilikua balaa yani kilasiku nipo bize kwenye media za nje kuangalia mnyama kafanya unyama gani huyu jamaa angekuepo corona ingechelewa kuja aliwaharibia sana ratiba ya budget, kirusi kingechelewa kutengenezwa.