and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,441
- 40,201
Hayo Ni mambo personalPongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
Uamuzi tu kwa kuweka pembeni ubinafsiPongezi nyingi kwake Shehe Al Maktoum. Nimewahi kufika Dubai mara 3 Ila kila nikifika nakuta kitu kipya. Kama Dubai wameweza kubadili jangwa kuwa mji wa kibiashara na utalii sisi hapa tuna mbuga, bandari, madini. Tunashindwa wapi?
Ni asili yetu sababu ya malezi yetu.Nampa hongera.Alifanya kazi kubwa sana kuigeuza Dubai.huwezi amaini kama lilikuwa jangwa.Nadhani viongozi wetu wa kiafrika wangekuwa wanajifunza kwa wanamapinduzi wa kimaendeleo kama hawa.Sio kuishia na makesi kesi ya ufisadi baada ya kumaliza utawala
Hayo kama ni ya kweli, hiyo nayo ni kasoro kubwa sana.Sema pia ni utamaduni wa kiarabu kwamba wanawake hawana thamani sawa publicallyPongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
Mwanamapinduzi Magufuli alidhihakiwa na kuitwa dikteta ila kama angekuwa na akili za kipuuzi kama za huyu wa Awamu ya 6 ungekuta mpaka sasa nchi imebakiwa na Jina tu.Nampa hongera.Alifanya kazi kubwa sana kuigeuza Dubai.huwezi amaini kama lilikuwa jangwa.Nadhani viongozi wetu wa kiafrika wangekuwa wanajifunza kwa wanamapinduzi wa kimaendeleo kama hawa.Sio kuishia na makesi kesi ya ufisadi baada ya kumaliza utawala
Udugu kufaana si kufananaDubai ni popular tu Ila hawana utajiri kama Abu Dhabi. Wakati fulani ilibidi Abu Dhabi amsaidie Dubai kufuatia gharama kubwa alizoingia Kwa lile jengo refu duniani (Burj Al Khalifa) maana Dubai nusura wafilisike. Na ndio maana jengo lile limeitwa kwa jina la Rais wa Zamani wa UAE na Mtawala wa Abu Dhabi Khalifa bin Zayed Al Nahyan.
Umekaa kinafki tu!!..huyo sheikh mkewe alitaka talaka kisa sheikh haonekani nyumbani mambo mengi ya kufanya,hiyo hela ya ndani anayofungia Binti zake Ina walinzi wangapi!?Pongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
Wakoloni walijenga makanisa na kwako fresh tu...Ila mwarabu na misikiti yake inakutia hofu hata kunya unashindwa,utadhani utalazimishwa kuswaliTutajengewa misikiti ya kutosha maana ndio misaada ya mwarabu baada ya kupata faida . Kifungu Cha Co oparate social responsibility
Magufuli awe mwanamapinduzi!!Mwanamapinduzi Magufuli alidhihakiwa na kuitwa dikteta ila kama angekuwa na akili za kipuuzi kama za huyu wa Awamu ya 6 ungekuta mpaka sasa nchi imebakiwa na Jina tu.
Hatuzungumzii historia, tunazungumzia Sasa. Mkoloni wa kizungu alijenga makanisa, shule, mahospitali, na mbo chungu mzima ya manufaa kwa nchi na vizazi vijavyoWakoloni walijenga makanisa na kwako fresh tu...Ila mwarabu na misikiti yake inakutia hofu hata kunya unashindwa,utadhani utalazimishwa kuswali