Mfahamu modi/dinyo wa jeief aliyejipiga ban

Eli Cohen ndiye modi aliyejipiga ban baada ya kupata udhuru fulani na baada ya kumaliza shughuli zake akabonyeza kitufe cha kurudi hewani na amerudi.

Alimpiga mvua kwanza memba mmoja nayeitwa sijui lucha kisha akajipiga mvua yeye mwenyewe.

JF ina vituko sana kwa hakika.

Dr am 4 real PhD Harmful
Hiyo ni kama Mwanasheria Mkuu wa Botswana aliyejishitaki yeye mwenyewe binafsi kwa sababu ya uzembe.

Yani aliandaa mashitaka kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali, dhidi yake yeye mwenyewe kama mtu binafsi aliyeshika dhamana ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali 😂😂😂
 
Huyo ni mzalendo wa kiwango Cha SGR 😂😂😂
 
Hiyo ni kama Mwanasheria Mkuu wa Botswana aliyejishitaki yeye mwenyewe binafsi kwa sababu ya uzembe.

Yani aliandaa mashitaka kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali, dhidi yake yeye mwenyewe kama mtu binafsi aliyeshika dhamana ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali 😂😂😂
Duh!, Mwisho wake ulimuwahe?

Ujipiga mvua korokoroni ama alishinda kesi 😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom