Mfahamu modi/dinyo wa jeief aliyejipiga ban

1734800499280.jpg

Fake Kama Booty Jordan.
 
Eli Cohen ndiye modi aliyejipiga ban baada ya kupata udhuru fulani na baada ya kumaliza shughuli zake akabonyeza kitufe cha kurudi hewani na amerudi.

Alimpiga mvua kwanza memba mmoja nayeitwa sijui lucha kisha akajipiga mvua yeye mwenyewe.

JF ina vituko sana kwa hakika.

Dr am 4 real PhD Harmful
Wewe ulijuaje yote haya
 
Noma Sana kama padri kukutwa kwenye chumba Cha ma sister.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom