MFAHAMU MNYAMA NYUMBU


salaniatz

salaniatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,485
Points
2,000
Age
27
salaniatz

salaniatz

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,485 2,000
[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG]:NYUMBU ni Mnyama mkubwa anayepatikana Afrika katika maeneo ya Savana mnyama huyu anatajwa kuwa ni mnyama mwenye uwezo mdogo wa kufikiri hususani katika maeneo ya hatari.
Mfano mzuri Nyumbu wanaweza kuwa na kiu wakaamua kwenda kunywa maji kwenye mto wenye mamba ,wenzao wakiliwa wao wataendelea kunywa maji hapo hapo au wakarudi siku nyingine kunywa maji nakusahau kama wenzao waliliwa katika mto huo.
Nyumbu hawana utamaduni wa kusaidiana pindi mmoja wao anapokamatwa au kufukuzwa na adui inapotokea hatari kila mmoja anatafuta namna ya kujiokoa mwenyewe.
Wanyama hawa hupenda kujichanganya na wanyama wengine kama pundamilia,nyani na baadhi ya ndege ili kujikinga na maadui.
[HASHTAG]#Taja[/HASHTAG] sifa nyingine ya mnyama huyu.
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
9,140
Points
2,000
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
9,140 2,000
kiumbe maarufu sana siasani
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
7,103
Points
2,000
Age
23
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
7,103 2,000
wanajua kuzaliana sana:D
 
haa mym

haa mym

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2014
Messages
4,393
Points
2,000
haa mym

haa mym

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2014
4,393 2,000
Wapo wengi sana kwenye chama fulani cha siasa hapa Tanzania
 
hodi hodi

hodi hodi

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2016
Messages
234
Points
250
Age
57
hodi hodi

hodi hodi

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2016
234 250
Kumbeeeeeeee,hovyo kabisa,kama picha inavyo onesha,hawasaidiani nyumbu
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
7,406
Points
2,000
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
7,406 2,000
Mtoto akizaliwa ndani ya nusu saa anatoka baru kama mama yake
 
Daniel Agger

Daniel Agger

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
3,216
Points
2,000
Daniel Agger

Daniel Agger

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2013
3,216 2,000
Hapa hutawaona wanacomenr chochote

[HASHTAG]#Nyumbu[/HASHTAG]
 
M

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
2,505
Points
2,000
M

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
2,505 2,000
Utawakuta wanamponda aliwapa vitabu 7 jana na kumshabikia anayewapa buku 5 leo
 

Forum statistics

Threads 1,285,875
Members 494,778
Posts 30,877,121
Top