Mfahamu mchawi aliyekoswa na kitanzi mara 3

Mfahamu mchawi aliyekoswa na kitanzi mara 3

Ase umenkumbusha nilivopigwa kitanzi na katili flani hivi ...ujana uacheni tu
 
Au mimi niimalizie, kwa ssbabu nadhani kilichotikea mwanzo ndicho hicho hicho kitakachotokea tena yaani mtambo kushindwa kushuka, kama sivyo basi malizia story😁😁. Huwezi ukatuacha na kiu kiasi hiki kisa eti wino umeisha!!
 
ndio maana sipend kusikilza njia panda maana inawai kuisha
 
Sasa hapa ukitaka utubebe anzisha ka group ka whatsApp [emoji3][emoji3]
 
Assalam
muendelezo juu ya Mzee Mchawi yataendelea Alhamisi kwani niko bize kidogo na operation za Nane8 so stay tuned by hiyo siku itakuwa ok tuvumiliane majukumu mengi yangu binafsi, familia na Kitaifa ila naahidi BAADA YA 88 MAMBO YATAENDELEA M/Mungu akipenda
 
Hahaha kwani makala ya lile gazeti unalochukulia ni alahamisi ndio linatoka mkuu ?
 
Back
Top Bottom