Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huyu ndiyo Konrad Zuse (*1910 - 1995 †) ndiye aliyegundua Computer kama tuijuavyo leo hii!
Computer yake aliita Z3 ambayo ndiyo mwanzilishi wa Computer hapa Duniani, ingawaje kuna wengi hawajawahi kumsikia!
Computer yake aliita Z3 ambayo ndiyo mwanzilishi wa Computer hapa Duniani, ingawaje kuna wengi hawajawahi kumsikia!
Konrad Zuse mwenyewe!
Hii ndiyo Z3, World's first programmable computer!