Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Nilishahamaga huko tangu 2012 nikaamua Kuokoka.
Bado upo chungu kimoja na papa

020a390438a971639056aeffc975df1e.jpg
 
Here we go again. Seventh Adventists (Wasabato) at work. Yaani bila Papa na ukatoliki hamna dini. Hata hiyo misingi ya Usabato huwa mnaihubiri saa ngapi kama kazi yenu kuu ni kupambana na Papa na ukatoliki 24/7? Nyinyi mnaamini nini? Wokovu unapatikanaje? Kwa kusoma na kufuata mafundisho ya Bibi Ellen G. White? Kwa kutokula samaki wenye magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua? Ni kwa kuabudu Jumamosi? Ni kwa kutokunywa chai, kahawa na soft drinks? Ni kwa kukurupuka na kuwa na kiherehere cha kuhusisha kila tukio na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo? Usabato ni nini? Mtu atakwenda mbinguni kwa sababu ni Msabato?

Inawezekana kweli Papa ni ajenti wa shetani na kahaba mkuu wa Ufunuo lakini je, hili linawasaidiaje nyinyi kama Wasabato? Mbona mko so obsessed na Papa na Wakatoliki? Dini na madhehebu mengine yote yako sawa isipokuwa Wakatoliki? Mbona siwaoni mkiwachimba mf. Mormons au Jehova's Witness? Why Catholics only? Au mna bifu la kihistoria na Papa na ukatoliki?

Samahani kwa maswali mengi na natumaini kwamba hutatoa povu na badala yake utajaribu kutuelimisha kuhusu kikundi hiki cha kifarisayo (washika sheria za Musa) kiitwacho Seventh Adventists, kiundi chenye mauzauza mengi yasiyofungamana na mafundisho ya Biblia.

Anyway, Happy New Year mkuu (kama mnasherehekea mwaka mpya)! Naona mwaka mpya Wasabato mmeuanza vizuri na Wakatoliki aisee mpaka waombe poo . Post zaidi ya 7 hivi za kuanika ushetani wa Papa na ukatoliki tangu 2017 uanze. Ingekuwa mnashambulia let's say Uislamu naamini threads zenu zingekuwa zinafutwa. Komaeni na "mashetani" na "makahaba" wa kikatoliki mpaka kieleweke ila tu hakikisheni kuwa na nyie mko sawa kiimani!
Roman catholic ndio MAMA WA MAKAHABA ,

HAO LUTHERAN, MASHAHID WA YEHOVA ,N.K NI MABINTI ZAKE

BIBLIA INAWAITA BINTI ZA KAHABA MKUU

SASA NIKUULIZE UPAGANI HUU WA ROMA NDIO UKRISTO?

fa73d9da604f8086877dbde0087691f4.jpg

Na HUU UPAGANI UMERITHIWA NA MABINTI ZAKE

HIVO TUNAPODILI NA KAHABA MKUU( ROMA) HATA MABINT ZAKE WANAFUNGUKA

8895f07413784d278560ff5fc60c3fe1.jpg
 
Babeli inajulikana wazi kuwa ni rumi.hata mitume hasa petro wwlikuwa wakitumiana salaam na waumini walioko rumi kwa kuitaja kuwa ni babeli.
 
Here we go again. Seventh Adventists (Wasabato) at work. Yaani bila Papa na ukatoliki hamna dini. Hata hiyo misingi ya Usabato huwa mnaihubiri saa ngapi kama kazi yenu kuu ni kupambana na Papa na ukatoliki 24/7? Nyinyi mnaamini nini? Wokovu unapatikanaje? Kwa kusoma na kufuata mafundisho ya Bibi Ellen G. White? Kwa kutokula samaki wenye magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua? Ni kwa kuabudu Jumamosi? Ni kwa kutokunywa chai, kahawa na soft drinks? Ni kwa kukurupuka na kuwa na kiherehere cha kuhusisha kila tukio na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo? Usabato ni nini? Mtu atakwenda mbinguni kwa sababu ni Msabato?

Inawezekana kweli Papa ni ajenti wa shetani na kahaba mkuu wa Ufunuo lakini je, hili linawasaidiaje nyinyi kama Wasabato? Mbona mko so obsessed na Papa na Wakatoliki? Dini na madhehebu mengine yote yako sawa isipokuwa Wakatoliki? Mbona siwaoni mkiwachimba mf. Mormons au Jehova's Witness? Why Catholics only? Au mna bifu la kihistoria na Papa na ukatoliki?

Samahani kwa maswali mengi na natumaini kwamba hutatoa povu na badala yake utajaribu kutuelimisha kuhusu kikundi hiki cha kifarisayo (washika sheria za Musa) kiitwacho Seventh Adventists, kiundi chenye mauzauza mengi yasiyofungamana na mafundisho ya Biblia.

Anyway, Happy New Year mkuu (kama mnasherehekea mwaka mpya)! Naona mwaka mpya Wasabato mmeuanza vizuri na Wakatoliki aisee mpaka waombe poo . Post zaidi ya 7 hivi za kuanika ushetani wa Papa na ukatoliki tangu 2017 uanze. Ingekuwa mnashambulia let's say Uislamu naamini threads zenu zingekuwa zinafutwa. Komaeni na "mashetani" na "makahaba" wa kikatoliki mpaka kieleweke ila tu hakikisheni kuwa na nyie mko sawa kiimani!
Jamaa wanatafuta waumi kwa mtindo huo, Yesu wangu awasaidie kwa kuwafundisha Neno lake ili liwaokoe daima
 
aisehhhhhhh nimeamini S.D.A ni kanisa la Mungu duniani.Mungu kawafunulia siri kubwa sana
 
Mimi ni roman catholic
kwa mroma mwenzangu
atakayeweza kunielewesha, kiunagaubaga zile sanamu kanisani ni za nini? Kwanini maandiko yamepinga na still bado zipo? vp kwenye salama Maria kuna sehemu tunatamka mama wa Mungu je ni halali?. Ntaendelea kuuliza zaidi
Nb hayo maswali hasa la sanamu limenifanya niwe mgumu wa kwenda kanisani kabisa.
 
Mimi nikienda kanisani nikiona mchungaji anaongea sana habari za utajiri na kukuingiza kingi ujione na wewe ni tajiri wa roho wakati maisha yako hayapo hivyo huku akisisitiza maswala ya kutoa sadaka sana, hua natoka kati kati ya ibada na sirudi tena.

Mara ya mwisho ilikua kanisa la Kinondoni maarufu kwa Mchungaji Swai, yule bwana alivyosema sadaka haiwezi kua 500 pale pale nikaondoka.
 
Bado upo chungu kimoja na papa

020a390438a971639056aeffc975df1e.jpg
Wasabato ni extremists wa kibiblia. Sioni kama ni sahihi kusema Wasabato ni wakristo Extremists, maana hawa jamaa huwa sielewi kama no Wakristo! Maana hata msalaba wanapambana ufutwe, hawa ni Masadukayo ndio maana wanaelewana sana na Mafarisayo!!

Wale waliosematuwahi mjini tukawaambie wanafunzi walikuja wakamwoba Yesu usiku isije ikasambaa hii habari kuwa amefufuka na akapata wafiasi wengi (NV)
 
Fafanuzi za uongo hizo kitabu cha ufunuo kiko wazi kwa sababu kabla ya ufunuo kili funuliwa chote yote yaliyomo kwenye ufunuo yametafsiliwa na vitabu nya nyuma
Lete fafanuzi za kweli...
 
Wasabato ni extremists wa kibiblia. Sioni kama ni sahihi kusema Wasabato ni wakristo Extremists, maana hawa jamaa huwa sielewi kama no Wakristo! Maana hata msalaba wanapambana ufutwe, hawa ni Masadukayo ndio maana wanaelewana sana na Mafarisayo!!

Wale waliosematuwahi mjini tukawaambie wanafunzi walikuja wakamwoba Yesu usiku isije ikasambaa hii habari kuwa amefufuka na akapata wafiasi wengi (NV)
Ila kuabudu masanamu

Kula nguruwe

Kuruhusu ushoga

Kuvunja amri za Mungu

Kusherekea sikukuu za kipagan X mass, easter paganism,hallowen , jumatano ya majivu,n.k

Kuombea wafu ,au ibada ya wafu
 
Hiyo tafsiri unaipata kwa uongoz wa roho mtakatifu

Kitabu cha ufunuo kimeandikwa kwa kificho
Hujanielewa,kwenye Ufunuo 17 kuna mahali malaika alikuwa anampa tafsiri ya kile alichokiona jangwani kuanzia vichwa saba,mnyama hadi mwanamke...

Malaika alikuwa akimueleza Yohana maana ya kimoja baada ya kingine,nataka uweke hapa kile malaika alimuambia Yohana juu ya maana ya mwanamke,hapa roho mtakatifu wa nini wakati mafumbo yamefumbuliwa tayari na malaika?
 
Ila kuabudu masanamu

Kula nguruwe

Kuruhusu ushoga

Kuvunja amri za Mungu

Kusherekea sikukuu za kipagan X mass, easter paganism,hallowen , jumatano ya majivu,n.k

Kuombea wafu ,au ibada ya wafu
Unaweza kuwa mpinzani wa dhehebu fulani hili halina shida,lakini kuanza kudanganya ni jambo la ajabu na lisilokubalika maana kuna watu wanaweza kuamini maneno yako...

Najua matatizo ya kanisa katoliki lakini usidanganye watu...

Naomba uweke na ushahidi wa kila kimoja hapo kuwa kwanza kimeruhusiwa na kanisa katoliki na pia ni kosa kimaandiko....
 
Ila kuabudu masanamu

Kula nguruwe

Kuruhusu ushoga

Kuvunja amri za Mungu

Kusherekea sikukuu za kipagan X mass, easter paganism,hallowen , jumatano ya majivu,n.k

Kuombea wafu ,au ibada ya wafu
Unaruhusiwa na nani uwe shoga na unakubali? Huna utashi? Ina maana unaongozwa na SDA?
Now remember madhehebu ni uchaguzi wa mwanadamu! Yesu alihubiri kwa kutaja dhehebu gani? Aliwaambia wawe wanakutana kwa jina la dhehebu? Alisema yashike mafundisho yake tu na umfuate!

Wasabato sio ni kundi la waandishi wa sheria tu za kidunia!! Niambie mafundisho ya Yesu yaliposema kawafundisheni na wengine wasile nguruwe!!
Acheni ukuda nyie! Baba yetu wa mbinguni sio mkuda. Kama hatujaelewa angetuelewesha kwani ameishiwa namna ya kutufundisha?
Nyie vipi? au mtafuteni Yuda mwingine mmpe vipande 30 vya fedha! Unaelewa maana ake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom