Mfahamu Dr. Makongoro Mahanga kiundani

Mfahamu Dr. Makongoro Mahanga kiundani

Licha ya unayo yasema ...ila nadhani mnyonge mnyongeni ila haki ya mpeni.... jamaa ni kichwa .
Nakubali Mkuu ila dosari ndogo sana inamuondolea mtu hadhi fulani, si unaona jinsi wasomi wetu wanavyotukanwa na kudharauliwa kwa wanayoyafanya, ufisadi, maamuzi mabovu na ubinafsi.
 
Mze yupo vizuri,ila anakakijana kake kalikuwa kanafanya tigo kalevi kagonvi mpka walikuwa wanatwangana ngumi na babaye..
 
huyu jamaa alishawahi kuchukua nyota ya ndugu yangu, tulipoenda kwneye kioo tulimwona laivu na tukamtandika balaa. hukumu yake ipo inakuja tena haraka sana. kule misri tulishaondoka tupo kaanani na hukumu yake atamhukumu Mungu mwenyewe. kuna viongozi wengi tu wakiwa mawaziri nk wanafanya kazi kwa kuiba nyota za watu, wanatumia waganga wa kienyeji kuiba nyota za watu. wakifanya kazi utafikiri wao kumbe wamewaacha masikini makopo huko mtaani. Mungu ni wa haki na atatoa haki siku ikifika. Mungu mwenyewe atakuhukumu.
usisahau kumeza dawa za kichaa, kimerudi tena kwa kasi

Unayoongea na kuyalaani ndio unayoyafanya, hasa hili la kusema mlimuona kwenye kioo ni balaa
 
Washington International University is an unaccredited university. It was once accused by the real Washington University of St. Louis Missouri USA as nothing but a "diploma"/certificates mill. Hivi ndivyo vyuo viongozi wetu wanapata elimu na kujiita madaktari wa falsafa.
 
Licha ya unayo yasema ...ila nadhani mnyonge mnyongeni ila haki ya mpeni.... jamaa ni kichwa .

The history tell us kwa miaka hiyo ya sabini kwenda university of Dar was the first choice of any young man, the fact that he never made to the university (instead took a diploma) tell us .... he was not kichwa!
 
Back
Top Bottom