Mfahamu binadamu wa kwanza aliyetimiza umri wa miaka 615

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Ni nadra sana binadamu kufikisha umri wa miaka 100 na kuendelea kwa vizazi vyetu na vilivotangulia, labda huko kwenye masimulizi ya vitabu vya dini.

Bwana colestein veglin huyu ndiye anashikilia nafasi hii kuwa na umri mkubwa kuliko wote duniani.

ni mzaliwa wa marekani (alizaliwa mwaka 1260 na kufariki 20 july 1876).

Nyongeza ya ambayo ushaidi hujaweza kuthibitishwa :

Huko Indonesia Ratu Ruhaya inasemekana alizaliwa mwaka 1647 na bado yuko hai. Inamfanya awe na umri wa miaka 375.

Mbah Dewi inasemekana alizaliwa mwaka 1690 na bado yuko hai. Inamfanya kuwa na umri wa miaka 332.

Japani
Amakuni, mvumbuzi wa panga za Kijapani - tachi na katana, na muundaji wa upanga wa hadithi

- Kogarasu Maru; inasemekana kutoweza kufa na kuwa na umri wa zaidi ya miaka 1,400.

Asada No Murasi Yasu inasemekana alizaliwa mwaka 1228 na bado yuko hai.

Inamfanya awe na umri wa miaka 794.

Thailand
LP Suwang (aliyefariki mwaka wa 1995) inasemekana alizaliwa mwaka wa 1551 au 1483. Inamfanya awe na umri wa miaka 444 au 512.

Mwanamke ambaye jina lake halikujulikana anadaiwa kuwa alizaliwa mwaka 1622 na bado yu hai. Inamfanya awe na umri wa miaka 400.
 
Mwanzo 5:27
[27]Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa.
And all the days of Methuselah were nine hundred sixty and nine years: and he died.
 
sasa mbona umeandika tu bila kutupa rejea yoyote ili tukajiridhishe
 
Back
Top Bottom