Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,861
- 3,513
🙏🙏🙏 Kweli mkuu kazi na dawaWanaume wote wenye hekima dunia hii ni wakware!Anza na king David,Solomon,Bill Clinton,Bob Marley, diamond platnumz(kidding). na wengine uwajuao...Huwezi kuongoza vizuri kama unajidai mgumu utaishia kuwa gaidi tu!'Kazi na dawa!'
Kumbe Nyerere Majanja kweliWatu na Bebe's zaoView attachment 1767340
Asante.Bibi Titi Mohammed alizaliwa mnamo 1926 jijini Dar es saalam na alipoteza maisha tarehe 5 Novemba 2000 alikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza mzalendo kushika nafasi za ubunge na uwaziri nchini Tanzania. Pia alikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Mwaka 1969 Bibi Titi Mohammed alikamatwa na mwaka uliofuata alifikishwa mahakamani kwa kosa la kula njama ya kutaka kupindua serikali. Katika kesi hiyo, Bibi Titi alikuwa ni mwanamke pekee katika washtakiwa 7. Baada ya kesi hiyo kusikilizwa alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha. Hata hivyo, mwaka 1972 alisamehewa na rais Julius Nyerere.
Juu ya kutolewa kwake, Mohammed aliongoza maisha yake akiwa mpweke. Mume wake alimtelekeza wakati wa kesi, ushirika wake wa kisiasa ukanyang'anywa, na marafiki zake wengi wakamlaani.
Mnamo mwaka wa 1991, wakati Tanzania ikisherekea miaka 30 ya uhuru, Bibi Titi ameonekana kwenye maandishi ya chama tawala kama "Shujaa wa Kike Aliyepigania Uhuru".
Tarehe 5 Novemba 2000 Mohammed alifariki kwenye hospitali ya Net Care Hospital mjini Johannesburg ambapo alikuwa akitibiwa.
Moja kati ya mabarabara makubwa ya jijini Dar es Salaam limepewa jina la Mohammed kwa heshima ya mafaniko makubwa aliyoyafanya wakati wa mbio za kutafuta uhuru wa Mtanzania.
🙏🙏🙏Asante.
Lakini umekosa kapicha?
Basi tumia hizi...
View attachment 1767404
View attachment 1767405
View attachment 1767406
View attachment 1767407
View attachment 1767408
Mbona Mwinyi alifanikiwa kuongoza?Wanaume wote wenye hekima dunia hii ni wakware!Anza na king David,Solomon,Bill Clinton,Bob Marley, diamond platnumz(kidding). na wengine uwajuao...Huwezi kuongoza vizuri kama unajidai mgumu utaishia kuwa gaidi tu!'Kazi na dawa!'
Sikua serious kihvyoo bro,,huo mfano tu..na Kuna wengine hawakuwahi kua hata na wanawake,wengine mashoga lakini wakafanya makubwaMbona Mwinyi alifanikiwa kuongoza?
Ahsante sana kwa picha,... kwa mbaaliii namuona Kambona katika ubora wake kabla hajashupaza shingo na kuwekwa kwenye nyimbo za mchaka-mchaka enzi zetu mashuleniAsante.
Lakini umekosa kapicha?
Basi tumia hizi...
View attachment 1767404
View attachment 1767405
View attachment 1767406
View attachment 1767407
View attachment 1767408
Relax bro, im just kidding!Sikua serious kihvyoo bro,,huo mfano tu..na Kuna wengine hawakuwahi kua hata na wanawake,wengine mashoga lakini wakafanya makubwa
Ukitoka kifungoni utuelezee sababu za kuwa bannedHongereni 🙏🙏🙏
Alikuwa binadamu kama wengine!Duh kumbe mwalimu nae hakuwa nyuma kwenye mapenzi
Na wewe pia ukitoka kifungoni utulezee sababu ya kuwa banned..Jf siku hizi ban zinatembea Kama njuguUkitoka kifungoni utuelezee sababu za kuwa banned
Ahaaa nimeamua kuweka avatar ya banned ili wafurahi zaidi wamenipiga ban mbili ndani ya mwezi mmojaNa wewe pia ukitoka kifungoni utulezee sababu ya kuwa banned..Jf siku hizi ban zinatembea Kama njugu
Ndy maana nilishanga kitu kimoja Kuna Uzi mmoja ulichangia alafu Mimi nilikuwa active muda huo..nikasema huyu jamaa mbn naona kapigwa ban lkn anareply km kawaida? Nikakosa majibuAhaaa nimeamua kuweka avatar ya banned ili wafurahi zaidi wamenipiga ban mbili ndani ya mwezi mmoja
Ahaa bila shaka ungekuwa udukuzi uliotukukaNdy maana nilishanga kitu kimoja Kuna Uzi mmoja ulichangia alafu Mimi nilikuwa active muda huo..nikasema huyu jamaa mbn naona kapigwa ban lkn anareply km kawaida? Nikakosa majibu