Kwani we nawe ni mchafu..?? Kwa ngazi ipi kama kweli ni mchafuTulishindanishwa lini yeye akawa mshindi??
Tuseme tu ni mchafu ila sio mchafu zaidi duniani
yani bacteria hawawezi mdhuru aiseee loh.. sipati picha maeneo yale loh
mmmmmmmmmmmmmmm....umewaza mbaliiiiii...hii ni sheeeedah
lol we umfikiria kiungo kimoja tu dah !