Mimi nadhani nbc waliweka sharti kila mchezaji alipwe kupitia nbc account
Hapo ukichukua timu 16 na kila timu ina wachezaji 25
16×25=400
Hao wote wanalipwa na timu zao kupitia nbc na kisha nbc kuongeza mapato kupitia bank charges za kila mwezi na atm charges unapotoa