ecolizer baba
Member
- Sep 29, 2010
- 88
- 310
Amekosa kazi ya kufanya?? Namshauri ajikite kwenye kuwaongoza wapiga kura wake kujiletea maendeleo! Mwaka 2020 siyo mbali!!!Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.
Stay tuned.
Itaonesha kutimia kwa andiko la wahenga,"malipo ni hapa hapa duniani"Hivi team wema aka ukawa bashite akipigwa chini ndio mtaingia ikulu??
Lkn, nikidhani, kila mtumishi, ana wajibu wa kuwakilisha vyeti, na madodoso yake yote ya kitaaluma, kwa mamlaka zilizomuajiri, na si vinginevyo....Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.
Stay tuned.
Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.
Stay tuned.
M/kiti wetu vyeti vyake vipo & hajawahi kutumia jina bandia.Ndugu Jacob kumbuka wahenga walinena "ukitaka kuanzia mbio sharti uagane na nyonga",
Je umetimiza sharti hilo kabla ya kuanza kupiga jalamba??
Kumbuka kuwa "usianzishe ugomvi wakati unaishi kwenye Nyumba ya vioo".
CC: Mwenyekiti wa ufipa....hivi alihitimu Yale masomo yake ya Q.T aliyotangaza kwenda kusomea ughaibuni..??
Kufoji cheti ni kosa la jinai na sheria ya kuwabana watu wa aina hiyo ipo.Kama ni kweli basi Ubungo haina meya kwa miaka 5....masuala hayo awaachie akina Mbowe yeye ashughulike na matatizo ya wananchi...
Tatizo huyo meya anajipendekeza sana kwa Mwenyekiti wake wa Taifa hadi anatia kinyaa
vyeti mama,ujanja ujanja wa nini?makanjanja wa elimu kama makonda lazina muumbuliweHivi team wema aka ukawa bashite akipigwa chini ndio mtaingia ikulu??
Watetezi wa vyeti feki mko wengi.Amekosa kazi ya kufanya?? Namshauri ajikite kwenye kuwaongoza wapiga kura wake kujiletea maendeleo! Mwaka 2020 siyo mbali!!!
Wewe umeona watu wa dar wanataka vyeti wa Bashite au wanataka maendeleo ? hivi kazi ya Meya kulazimisha RC kuonesha vyeti au kuhudumia wananachi wake ? sifa za kishamba kabisakwanini mkuu?
Hivi akili zenu huwa ni za kuvukia barabara ama!!???... MTU anapeleka shauri mahakamani kwa MTU alievunja sheria " Penal Codes" za Tanzania unamuona hafai... Kweli naanza kuamini mnyama pekee kumtawala kirahisi duniani ni mtanzania...Ndugu Jacob kumbuka wahenga walinena "ukitaka kuanzia mbio sharti uagane na nyonga",
Je umetimiza sharti hilo kabla ya kuanza kupiga jalamba??
Kumbuka kuwa "usianzishe ugomvi wakati unaishi kwenye Nyumba ya vioo".
CC: Mwenyekiti wa ufipa....hivi alihitimu Yale masomo yake ya Q.T aliyotangaza kwenda kusomea ughaibuni..??
Hivi form IV na VI Mwenyekiti matokeo yake yakoje?? Maana kama.kumbu kumbu zinaonesha kuwa Q.T inahusika .M/kiti wetu vyeti vyake vipo & hajawahi kutumia jina bandia.
Acha justification za kipuuzi.
Nani kakuzuia kushitaki Mbowe kama ana vyeti feki.Ndugu Jacob kumbuka wahenga walinena "ukitaka kuanzia mbio sharti uagane na nyonga",
Je umetimiza sharti hilo kabla ya kuanza kupiga jalamba??
Kumbuka kuwa "usianzishe ugomvi wakati unaishi kwenye Nyumba ya vioo".
CC: Mwenyekiti wa ufipa....hivi alihitimu Yale masomo yake ya Q.T aliyotangaza kwenda kusomea ughaibuni..??
Siyo issue ya ikilu Bali maadili. Kuna waliokuwa wafanyakazi wa umma tena wengine wamekaribia kustaafu wameachwa vibaya kisa vyeti feki.Hivi team wema aka ukawa bashite akipigwa chini ndio mtaingia ikulu??