ally ngomanzito
Member
- Oct 7, 2015
- 86
- 108
Mheshimiwa Mstahiki Meya wa Kinondoni, Boniface Jacob ,ametembelea kikundi cha kina mama wajasiriamali cha Kigogo Mbuyuni,kianchojishughulisha na ushonaji,saluni na mama lishe.
Mstahiki Meya alikabidhi hundi ya shilingi milioni 7.7.
Mstahiki Meya alikabidhi hundi ya shilingi milioni 7.7.