Meya wa Bukoba atembeza kichapo kwa mwandishi

Waandishi wengine wanastahili hiyo, hawa tmanzanai wamezoea kulea makundi, na inaudhi sana kama mtu kwa kuwa tu ana gazeti anaamua kukudhafua, hivi hamjiulizi kwa nini mtanzania ifungie kibwebwe issue hii kama sio Prince Bagenda na majungu yake in action? ameua magazeti yote, sasa kifo kikubwa kwa mtanzania na kundi lake, piga sana hao mstahiki meya
 
Huko Bk kuna laana, maana kila jambo linaazia huko, Aids,vita ya uganda na Tz,ugonjwa 7days, kuzama mv bk na n.k
 
MCT walivalie njuga hili,walevi wa madaraka hawa watawauweni,komaini hadi aondoke hafai kuongoza watu kama habari zilipotoshwa kwa nini asikanushe kwa ushahidi,hovyo kabisa ni sawa na timu kufungwa halafu unabamiza TV kwa hasira,what a mayor!

kwahiyo MCT ndo wanawatuma muandike biased info?. solution za matatizo ni diverse, kajanja journalists mtatandikwa na hamtafua dafu.
 
Back
Top Bottom