Mbatizaji Mkuu
Member
- Jul 19, 2020
- 39
- 128
Miaka yote tangu kuumbwa dunia watu wanakufa. Wizara ilihimiza kuwa kila mwenye dalili apimwe, na wanaopimwa Corona majibu yatoke kwa haraka.Kuna mambo makubwa mawili tu ukubali kuwa nawe sasa CORONA imeshaanza Kukuinga na Kushambulia Watu wako ili uanze kupata Misaada kirahisi hasa ya Chanjo ambazo kwa bahati nzuri sasa zipo za aina Tatu, au Ukanushe kuwa CORONA haipo ili ujizolee Sifa za Kisiasa na Kimataifa lakini huku chini Watu wako wanakufa kila Uchao na kutoa Amri kuwa anayekufa kwa COVID-19 basi Familia iambiwe tu kuwa ni Pneumonia hiyo.
Hivi Pneumonia inaweza kuibuka ghafla tu kwa mtu ambaye hana historia ya huo ugonjwa?Kuna mambo makubwa mawili tu ukubali kuwa nawe sasa CORONA imeshaanza Kukuinga na Kushambulia Watu wako ili uanze kupata Misaada kirahisi hasa ya Chanjo ambazo kwa bahati nzuri sasa zipo za aina Tatu, au Ukanushe kuwa CORONA haipo ili ujizolee Sifa za Kisiasa na Kimataifa lakini huku chini Watu wako wanakufa kila Uchao na kutoa Amri kuwa anayekufa kwa COVID-19 basi Familia iambiwe tu kuwa ni Pneumonia hiyo.
Hapa tulipo katurudisha zama za kale za maweHuyu Babu akiachia madaraka nchi itakua imerudi nyuma kwa miaka 50 tutaanza tena kupinga ukabila,udini na ubaguzi na pia kuwahimiza watu kuuchukia ukoloni.
Ni jambo jema!
Niliuliza swali amepimwa wapi?
Mzee Mgaya anasema huko kwenye vilabu vya mbege mtaambukizana sana!Mzee mgaya kwani kasemaje? Hajatoa tamko?
Na kwanini Wote wanaokufa na CORONA katika Taifa lako la Madafu Madaktari wameagizwa wawe wanasema kuwa kutokana na Pneumonia tu?Miaka yote tangu kuumbwa dunia watu wanakufa.... Wizara ilihimiza kuwa kila mwenye dalili apimwe, na wanaopimwa Corona majibu yatoke kwa haraka.
Swali kwetu sisi, ni je kwanini kila anayekufa Leo iambiwe ni corona ???
Hivi hao wauguzi siku hizi hawaogopi corona kiasi cha kuwakimbia wagonjwa wa corona kama ilivyokuwa mwanzo?Kuna mambo makubwa mawili tu ukubali kuwa nawe sasa CORONA imeshaanza Kukuinga na Kushambulia Watu wako ili uanze kupata Misaada kirahisi hasa ya Chanjo ambazo kwa bahati nzuri sasa zipo za aina Tatu, au Ukanushe kuwa CORONA haipo ili ujizolee Sifa za Kisiasa na Kimataifa lakini huku chini Watu wako wanakufa kila Uchao na kutoa Amri kuwa anayekufa kwa COVID-19 basi Familia iambiwe tu kuwa ni Pneumonia hiyo.
Sasa kumbe hili unalijua je, kwanini Madokta wengi wa Hospitali za Madafu Nation wameambiwa anayekufa nao wawe wanasema ni Pneumonia?Hivi Pneumonia inaweza kuibika ghafla tu kwa mtu ambaye hana historia ya huo ugonjwa?
Kabisa mkuu Ukweli Haudanganyi Kamwe na Unamweka huru mtu siku zote.Huyu Babu akiachia madaraka nchi itakua imerudi nyuma kwa miaka 50 tutaanza tena kupinga ukabila,udini na ubaguzi na pia kuwahimiza watu kuuchukia ukoloni.
Wewe unawajua wenye corona wakaambiwa pneumonia? Mimi siwajuiNa kwanini Wote wanaokufa na CORONA katika Taifa lako la Madafu Madaktari wameagizwa wawe wanasema kuwa kutokana na Pneumonia tu?
Ndugu wanapewa ila jeneza inakuwa sealed kabisa, hakuna kuagaHalafu kwahiyo baada ya mtu kufa kwa corona na kusingizia pneumonia wanawapa ndugu mwili wa marehemu aliyekufa kwa corona wakauzike kwa mazishi ya kawaida bila kujali?
Wanachukua tahadhari safi sanaChristmass na Mwaka mpya nilikuwa Kilimanjaro kujifunza maisha ya wachaga, na katika pita pita zangu nilifika mpaka hospitali moja kubwa ya rufaa iliyopo Moshi (nakwepa kuweka jina la hiyo hospitali hapa) na niliona mambo makubwa matatu....