Meya Raibu: Hakuna Corona Moshi, Haya ni Mashambulizi dhidi ya Uchumi wetu

Hicho kishule kipitiwe na Afisa Elimu wa Mkoa na Kanda akiongozana na Maafisa wa TRA kujiridhisha masuala ya kikodi na Kitaaluma bila ya kuwasahau Maafisa wa Wizara ya Kazi na Idara ya Uhamiaji kuhakiki uhalali wa Wafanyakazi wao wa kigeni

Mamlaka ya kutangaza Corona yapo kwa Waziri wa Afya na Mamlaka ya juu yake tuโ€ฆhicho kishule kimetoa wapi mamlaka hayo.
Yaani "ISM" unaiita kashule mkuu...? Yaani shule ya kariba ya kina IST
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Najaribu tu kufikiria, je meya amepinga kwa tafiti ipi au takwimu zipi?

Anyway, ngoja tuone mwisho wake.
 
Huu mtindo wa kuikana corona kuwa haipo Tanzania ndiyo kitu Hatari zaidi kwani sasa maelifu ya watanzania wanazidi kufa kwa corona ambayo imesambaa kwa kasi kubwa hususani hapo jijini Dsm na Dodoma
Kwani kabla ya kuikana hiyo corona mwanzoni wakati wanaitambua na kuitangaza hali ilikuaje ukilinganisha na sasa?
 
Akihojiwa na Kituo cha Nungwi online Fm Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya Moshi Juma Raibu amekanusha vikali uwepo Wa Mgonjwa wa corona katika manispaa hiyo.
Wanataka kutufanya taifa la wajinga! Watanzania tunaona aibu kuongozwa na wajinga kiasi hiki! madhila makubwa kweli haya! hakuna kitu kibaya kama taifa kuwa na viongozi wajinga!
 
Wanaokufa kwa corona ni wengi sasa lakini CCM wamewalazimisha waseme wamekufa kwa magonjwa ya kawaida tu
Halafu baada ya hapo wanawapa ndugu mwili wa marehemu(aliyekufa kwa corona) wakazike kwa mazishi ya kawaida au kunakuwa na utaratibu maalumu wa kuzika?
 
Akihojiwa na Kituo cha Nungwi online Fm Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya Moshi Juma Raibu amekanusha vikali uwepo Wa Mgonjwa wa corona katika manispaa hiyo...
๐“๐š๐ฆ๐ค๐จ ๐š๐ญ๐š๐ญ๐จ๐š ๐ฒ๐ž๐ฒ๐ž ๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ข ๐ง๐๐ข๐ฒ๐ž ๐ฌ๐ž๐ซ๐ข๐ค๐š๐ฅ๐ข?

๐“๐š๐ฆ๐ค๐จ ๐ฅ๐š ๐ค๐ข๐ฌ๐ž๐ซ๐ข๐ค๐š๐ฅ๐ข, ๐ก๐š๐ฅ๐ข๐ญ๐จ๐ฅ๐ž๐ฐ๐ข ๐ง๐š ๐Œ๐ž๐ฒ๐š ๐š๐ฎ ๐Œ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž๐ค๐ข๐ญ๐ข ๐ฐ๐š ๐‡๐š๐ฅ๐ฆ๐š๐ฌ๐ก๐š๐ฎ๐ซ๐ข, ๐ฅ๐ข๐ง๐š๐ญ๐จ๐ฅ๐ž๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐Œ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐Œ๐ค๐จ๐š ๐š๐ฆ๐š ๐–๐ข๐ฅ๐š๐ฒ๐š!

๐Š๐š๐ฆ๐š ๐ฆ๐ฐ๐š๐ค๐ข๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ข๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐œ๐ก๐ข ๐Œ๐š๐ง๐ข๐ฌ๐ฉ๐š๐š ๐ฒ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข, ๐š๐ง๐š๐ฉ๐š๐ฌ๐ฐ๐š ๐š๐ก๐ข๐ฆ๐ข๐ณ๐ž ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐œ๐ก๐ข ๐ฐ๐ž๐ง๐ณ๐ข๐ž ๐ค๐ฎ๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐š ๐ญ๐š๐ก๐š๐๐ก๐š๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฌ๐ข๐จ ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐š ๐ญ๐š๐ฆ๐ค๐จ ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ก๐š๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ฆ๐ฅ๐š๐ค๐š ๐ง๐š๐ฅ๐จ!
 
Hicho kishule kipitiwe na Afisa Elimu wa Mkoa na Kanda akiongozana na Maafisa wa TRA kujiridhisha masuala ya kikodi na Kitaaluma bila ya kuwasahau Maafisa wa Wizara ya Kazi na Idara ya Uhamiaji kuhakiki uhalali wa Wafanyakazi wao wa kigeni

Mamlaka ya kutangaza Corona yapo kwa Waziri wa Afya na Mamlaka ya juu yake tuโ€ฆhicho kishule kimetoa wapi mamlaka hayo.
Wazazi wako wamepata hasara.
 
Kuna mambo makubwa mawili tu ukubali kuwa nawe sasa CORONA imeshaanza kukuinga na kushambulia Watu wako ili uanze kupata Misaada kirahisi hasa ya Chanjo ambazo kwa bahati nzuri sasa zipo za aina Tatu, au Ukanushe kuwa CORONA haipo ili ujizolee Sifa za Kisiasa na Kimataifa lakini huku chini Watu wako wanakufa kila Uchao na kutoa Amri kuwa anayekufa kwa COVID-19 basi Familia iambiwe tu kuwa ni Pneumonia hiyo.
Tupe mifano ya matukio ya corona
 
Miaka yote tangu kuumbwa dunia watu wanakufa. Wizara ilihimiza kuwa kila mwenye dalili apimwe, na wanaopimwa Corona majibu yatoke kwa haraka.

Swali kwetu sisi, ni je kwanini kila anayekufa Leo iambiwe ni corona?
Kwa nini watu wakiugua Covid-19 wanaitwa wahujumu uchumi? Kwani kuugua covid-19 ni kosa?
 
Christmass na Mwaka mpya nilikuwa Kilimanjaro kujifunza maisha ya wachaga, na katika pita pita zangu nilifika mpaka hospitali moja kubwa ya rufaa iliyopo Moshi (nakwepa kuweka jina la hiyo hospitali hapa) na niliona mambo makubwa matatu...
Huna sababu za kutoitaja, ni KCMC. Wao wameamua kulinda maisha ya watu ambao ndio wajibu wao na sio matamko ya sifa za kisiasa.

Hakuna kuingia bila barakoa na kunawa mikono hata uwe nani.

Nadhani hata Magufuli akienda pale ataambiwa vaa barakoa, akibisha basi atakuwa kaingia kama mvamizi.

Nimeupenda utawala wa KCMC ulivyo jiepusha na unafiki wa kisiasa na kutimiza wajibu wao wa kulinda maisha ya binadamu.
 
Hii shule ni kimataifa, wanafunzi wengi ni wageni (wengi wazungu) na naamini ina mfumo wa elimu wa nje.

Wanaposema kuhusu corona naamini wamewapima na kwa vyovyote wana vifaa.

Tuache ubishi na tuelewe kuwa ugonjwa upo na tuchukue tahadhari. Tuache kuwa na akili za ushabiki ktk mambo ya uhai wa watu.
 
Huu mtindo wa kuikana corona kuwa haipo Tanzania ndiyo kitu Hatari zaidi kwani sasa maelifu ya watanzania wanazidi kufa kwa corona ambayo imesambaa kwa kasi kubwa hususani hapo jijini Dsm na Dodoma
Eti maelfu!
 
watanzania mnachokitafuta muda si mrefu MTAKIPATA.
maneno huuumba.
Wenzenu wanaokufa na Corona mnaona wanafaidi.
Natamani magufuli apige lock down moja NZITO sanaa akili itukae sawa.
 
Back
Top Bottom