Meya mpya wa Arusha anapatikana?

Meya mpya wa Arusha anapatikana?

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
339
Reaction score
677
Kwa wale wajuzi wa serikali za mitaa, ninaomba kujua kama sheria zinaruhusu kupata Mwenyekiti mwingine kwa muda uliobaki baada ya yule aliyekuwa Mwenyekiti kuunga juhudi.

Mwenye majibu yeyote ya kufanyika uchaguzi au kutokufanyika ninaomba anisaidie na vifungu vya sheria vinavyosapoti hoja yako.

Nimejaribu kupitia Local Government Act sijaona fungu mwafaka ila nimeona sifa na tenure ya Mwenyekiti, Makamu na Madiwani lakini sijaona specific time ambayo inalimit uchaguzi kutofanyika kama nafasi iko wazi.

Wapo walioniambia kabla ya miezi 12 nafasi haistahili kujazwa na wapo walioniambia kabla ya miezi 6. Ninaomba supportive argument with relevant authorities.
 
Back
Top Bottom