Meya Manispaa ya Tabora alazimisha vijana wa bodaboda kuweka bendera ya CCM

JBK

Member
Aug 17, 2012
68
95
Meya wa manispaa ya Tabora amewalazimisha vijana wa bodaboda kuweka bendera ya CCM katika kijiwe chao (Kitete Hospital) baada ya kukuta vijana hao wameweka bendera ya CHADEMA
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,180
1,250
Meya wa manispaa ya Tabora amewalazimisha vijana wa bodaboda kuweka bendera ya CCM katika kijiwe chao (Kitete Hospital) baada ya kukuta vijana hao wameweka bendera ya CHADEMA
Hao vijana wa Bodaboda wamekubali au wamekataa kupeperusha bendera ya CCM????
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
inachekesha na kutia huruma..CCM hawajui shida nini ndio maana wanashindwa elewa ni kwanini vitu haviendi na wao bado wanakuwa watu wa mwisho kufunga mlango wa jumba la mizimu la CCM
 
JBK

Member
Aug 17, 2012
68
95
Hujamalizia mkuu, vijana walikubali au walikataa? Nini muafaka uliofikiwa?
baada ya hapo kwani aliwaambia wasipoweka bendera hiyo atawaondoa(kuzuia kuweka kijiwe chao hapo) ikabidi vijana waweke bendera zote kwa shingo upande
 
Top Bottom