Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
“Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John Mongela, Kennani Kihongozi hata mimi hayuko sawa na mimi” Maximilian Iranqhe - MEYA JIJI LA ARUSHA.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025