Meya Ilala azuia wamachinga kuondolewa katikati ya jiji

Meya Ilala azuia wamachinga kuondolewa katikati ya jiji

Akili za mwendokasi. Yaani yeye anaona wale wamachinga walivyozagaa Kariakoo ni sawa? Kisa yeye ni Meya wa Ilala ndo anashipaza shingo ili aonekane tu anapinga maamuzi na kuonesha yupo!!!

Tabu kweli kweli.
 
Kwani tamko la rais kule mwanza juu ya machinga kuachwa mijini na wasisumbuliwe linaishia mwanza au linavuka mipaka mpaka dar arusha mbeya na kwingineko n dani ya Tanzania? Naomba kujua ukomo wa tamko hilo la mkulu....or else meya anatii agizo la presdaa
Matching Guys(Machinga) wako Tanzania yote. Kwa hiyo agizo la Rais linawagusa wote siyo mwanza tuu. Wa kutengeua hiyo kauli ni Rais tuu.
 
Machinga wamegeuzwa ni Kondom za kutumia wakati wa kufanya Uzinzi wa Kisiasa!
 
Hapo ndio huwa nashindwa kuelewa siasa hizi za ajabu...serikali inasema hawa watu watoke mjini ni sawa kabisa..meya kama anawasaidia wapate sehemu nzuri zaidi awapeleke sio kupinga tu kienyeji ila mjini watoke
 
Huyu meya hafai kabisa hajui madgara ta hawa watu na pia anaonekena ni meya anaependa jiji hili kuwa chafu .
 
Back
Top Bottom