Mumwi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 592
- 122
Leo katika ibada ya ijumaa kuuya moja wa madhehebu iliyofanyika katika uwanja wa shekh Abed jijini Arusha na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Isidori Shirima pia kulikuwa na viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa, maaskofu na wachungaji.
Cha kushangaza ni kwamba meya wa Arusha alikuwepo lakini hata kutambulishwa hakutambulishwa wakati viongozi wengine walitambulishwa kwa majina kweli inaonyesha ni jinsi gani huyu meya hakubaliki yaani ni afadhali angekaa nyumbani kuliko kuja hapo maana watu wasiomjua hawakujua Kama meya alikuwepo na alikaa meza kuu nawailisha.